Yani mtu aliyekua anaongoza kuwashambulia watu unasema yeye ndio alikuwa anashambuliwa? Kweli ukiamua kuwa nyumbu akili huna matumizi nazo.Hakuna kitu kama hicho, hakuna mtu aliyeshambuliwa kama lissu na Bado yupo...
Hawa walikuwa wanajenga mzinga wa asali sio kukijenga Chama!Hawa wanaoondoka ndio waliokijenga chama. Wengi wana miaka zaidi ya 20 ndani ya chama. Acha uropokaji dogo chama sio sawa na harakati.
CHADEMA chini ya Mbowe vyeo havikuwa kwa ajili ya jobless wasio na kipato wategemea tonetone za chamaGT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu mtakapojirizisha wadudu.wote wameshaondoka.
Kama ndio hivyo nyie msingekikuta chama imara namna ile ambacho mmekiua. Kwenye siasa usiendeshwe na hisia bali uhalisia.Hawa walikuwa wanajenga mzinga wa asali sio kukijenga Chama!
Uwepo wa watu honest kama Lissu ndio wamekifanya Chama kiaminike ingawa hawakuwa high table.Kama ndio hivyo nyie msingekikuta chama imara namna ile ambacho mmekiua. Kwenye siasa usiendeshwe na hisia bali uhalisia.
Wajue tu kwamba No One is Irreplaceable in Politics.GT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu mtakapojirizisha wadudu.wote wameshaondoka.
Chama kitaaminika zaidi kuliko awaliKama ndio hivyo nyie msingekikuta chama imara namna ile ambacho mmekiua. Kwenye siasa usiendeshwe na hisia bali uhalisia.