nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
ccm kwa hapa walipolifikisha taifa letu tunahitaji tu maombi ya mwenyezi mungu. vinginevyo tunaelekea kulekule kama wenzetu wa kenya....
Wachukue na card za kupigia kura!! Maana hata bila kampeni wanakula chaka!! Mwaka huu watajuta! Wasubiri waone!!ukawa hata wasipofanya kampeni , kura zote zao
Hakika CCM kiboko! Wamehakikisha hakuna chama kingine cha siasa ambacho kitapata nafasi kutumia viwanja vya mikutano kwa sababu wameandaa matamasha mbalimbali kwa muda wote wa kampeni!
Aidha CCM imehakikisha imelipia katika tv zote muda ambao vyama vingine vingetumia kulipia matangazo yao ya kampeni ili wautumie wao!
Sasa sijui sheria inasemaje katika matumizi makubwa ya fedha katika kampeni!

Acha kutishia nyau
Alaaaaa kumbe ndiyo maana ndugu zangu wako serikalini wananiomba sana hela za mkopo. Wanasema hakuna hela za kazi sijui wanaita OC. Sasa kuanzia sasa siwakopeshi tena mpaka wanieleze kura yao wanampa nani? Ni lazima tuweke kikao . This is too much mtu ameajiriwa lakini anakuwa ombaomba.Hakika CCM kiboko! Wamehakikisha hakuna chama kingine cha siasa ambacho kitapata nafasi kutumia viwanja vya mikutano kwa sababu wameandaa matamasha mbalimbali kwa muda wote wa kampeni!
Aidha CCM imehakikisha imelipia katika tv zote muda ambao vyama vingine vingetumia kulipia matangazo yao ya kampeni ili wautumie wao!
Sasa sijui sheria inasemaje katika matumizi makubwa ya fedha katika kampeni!
Sasa assume nec wataingilia kati na kuamuru TV zirushe mkutano wa ukawa, vepe kuhusu Tanesco?!
"Make kutakua na mgao na matengenezo kwa ajili ya matayarisho umeme wa gethi"
Japo tunadai kwamba tuna-propagate democracy katika nchi zetu(Africa), ila kiuhalisia viongozi wetu ni wanafiki.
Huwezi kudai una-advocate democracy wakati huo huo unaminya opposition movements.
Kama huku kwetu tanesco wameshajata umeme
CCM wanatafuta vita... iko wazi..