CHADEMA, CCM wachuana matangazo ya Televisheni

CHADEMA, CCM wachuana matangazo ya Televisheni

Hawana hela ya kulipia hayo matangazo, na kwa taarifa zilizopo ni kwamba hata yale matangazo ya kutia nia arusha bado yanadaiwa walikopa.
 
ccm bila dola hakuna kitu... wamebaki kubebwa tu.ccm mwaka huu lazima iondoke.
 
UKAWA mnaboa sana.

Mnaomba uwanja wa taifa kwa ajili ya kampeni? Mnaomba uwanja wa Jangwani wiki moja kabla? Sasa mnalialia eti mmezuiwa kutumia TV kwenye uzinduzi, kwani mmejipangaje?

Mwishowe tunaanza kukuchokeni. Sababu za kitoto toto tu, hamjiamini. Hiyo ikulu mtaiweza kweli?

Haya andamaneni kwenda TCRA au the Hague
 
We unaambiwa mwenzako kashabook kwa sababu serikal mnayo eti na nyny mnajifanya mnataka,...mnadhani mtashinda kwa dhuluma zenu?,uwanja wa taifa mmegoma,jangwani mmezingua na kwenye TV mnazingua wabongo tunawacheki tu nahata wana CCM wasiopenda dhuluma hawafurahishwi na upuuzi huo....ila upinzani ni watu wenye akili sana na ndo maana wanawanyima usingizi,hamtaamini kitakachotokea mbna.

Hivi toka umepata akili ulishasikia chama cha siasa kimefanya mkutano uwanja wa Taifa? TV station zetu karibu zote zinapatikana nchi nzima, hebu tutajie TV gani ambayo ccm wamezuia tuone,
 
suala la kurusha matangazo ni biashara pale...na mkataba uliopo kwa siku hiyo na kwa muda huo...mimi ninachoona hapa vyote ni propaganda tu.....

Gor kuwa na hekima na akili. UKAWA walishapatana(Malipo, Kanuni, Muda, Mahali na Siku ya kurusha matangazo yao) na vituo kadhaa vya Television(ITV, Star Tv nk) sasa baadaye tena CCM wakaibuka tena kwenda kushawishi na kushnikiza vituo hivyo visirushe matangazo hayo bali virushe matangazo ya CCM mkoani Mbeya!
Tafuta gazeti la Mwananchi la leo then utasoma vizuri.
 
Last edited by a moderator:
We unaambiwa mwenzako kashabook kwa sababu serikal mnayo eti na nyny mnajifanya mnataka,...mnadhani mtashinda kwa dhuluma zenu?,uwanja wa taifa mmegoma,jangwani mmezingua na kwenye TV mnazingua wabongo tunawacheki tu nahata wana CCM wasiopenda dhuluma hawafurahishwi na upuuzi huo....ila upinzani ni watu wenye akili sana na ndo maana wanawanyima usingizi,hamtaamini kitakachotokea mbna.

kwa hali hii ccm yapaswa kuondoka. hakuna namna..
 
Acheni kusingizia kila uongo kwa ccm. ITV ni wafanyabiashara, anayelipa ndiye anapewa airtime, mwambieni Mbowe awagawie wenzake mgao wa mabilioni ya Lowasa ili kampeni zenu zichangamke sio kujifanya kuminya hela na kuwadanganya wenzake eti anayetia saini (katibu mkuu) hapatikani wakati yupo tu! Hela hawanaaa! Zote kachikichia Mbowe, Msilete visingizio.

Umeongea kitu cha maana sana. Mbowe anawalaghai tu. Alitaka ITV warushe bure "ukombozi" hahaa
Ndesa pesa kagoma kuchangia pia. Atoe tu hizo billioni kampeni zianze. Ulalamishi si dawa!
 
UKAWA mnaboa sana. Mnaomba uwanja wa taifa kwa ajili ya kampeni? Mnaomba uwanja wajangwani wiki moja kabla? Sasa mnalialia eti mmezuiwa kutumia TV kwenye uzinduzi, kwani mmejipangaje? Mwishowe tunaanza kukuchokeni. Sababu za kitoto toto tu, hamjiamini. Hiyo ikulu mtaiweza kweli? Haya andamaneni kwenda TCRA au the Hague

hili la ukawa kila mpenda haki analaani hata wanaccm wenyewe wanasema ccm kama inajidai kukubalika kwa wananchi ingeacha mambo yangekuwa huru. ili hatimae wananchi waamue kwenye sanduku la kura...ccm inapendelewa na dola...
 
HAPANA.Matangazo yanalipiwa.Leo baadhi ya TV watarusha live mkutano wa EDo na vikundi vya akina mama Millenium tower saa 9 mchana

kiujumla ccm ni chama dola. wakati mwingine huzitisha mamlaka zinazohusika ili kuipa fever...
 
mi nilichosikia ni kwamba wanazuiwa kuzindua campain kufanyikia viwanja vya jangwani et kwa sababu siku iyo shughuli za ccm zitakua zinaendelea pia...gazeti la leo asubuhi limesema ivo ila halijaongelea habari za tv kuzuia,
 
Kwa hii ccm ya sasa, inawezekana kabisa, ni mazuzu mno
1.angalia mkapa alivyoongea kama muhuni tu wa mtaani
2. Angalia kada wao pole pole mambo anayoongea, wanaopinga katiba wamehama, wakati mgombea mwenza wa ccm alikuwa makamu mwenyekiti wa BMK
3.angali vituko vya polisi, mamlaka ya anga, mkurugenzi wa ilala
4. Angalia type za wasanii wanaowaunga mkono
 
Jambo lolote ukifanya njama ya kulizuia ndivyo hamu ya watu kuliona inavyozidi kuwa kubwa. CCM wanachofanya ni kuitangaza Ukawa kwa nguvu zao bila kujua.
 
Gor kuwa na hekima na akili. UKAWA walishapatana(Malipo, Kanuni, Muda, Mahali na Siku ya kurusha matangazo yao) na vituo kadhaa vya Television(ITV, Star Tv nk) sasa baadaye tena CCM wakaibuka tena kwenda kushawishi na kushnikiza vituo hivyo visirushe matangazo hayo bali virushe matangazo ya CCM mkoani Mbeya!
Tafuta gazeti la Mwananchi la leo then utasoma vizuri.

Kama fitna ndogo ndogo kama hizi za vituo vya TV huyo Edo anashindwa mpaka kuja kulialia hapa, ataweza fitna za ccm kwenye wizi wa kura? Hamjajiandaa kabisa kuiondoa ccm kama ndio hivi, yeye anaishi dar fitna zote zinafanyika dar na yeye kila fitna anapigwa chini kuna nini zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom