ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Nchi hii ina television moja? Na hao ccm wamelipia TV station zote siku hiyo? Mambo mengine mkiambiwa basi changanyeni na zenu
Kweli kabisa. Ukawa ni walalamishi kila wakati na wanataka kura za huruma.