Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
hili la ukawa kila mpenda haki analaani hata wanaccm wenyewe wanasema ccm kama inajidai kukubalika kwa wananchi ingeacha mambo yangekuwa huru. ili hatimae wananchi waamue kwenye sanduku la kura...ccm inapendelewa na dola...
Hapana sasa hii too much! TV stations zipo za kutosha si waongee na Azam TV basi
Watakuwa hawajalipia matangazo yaliyopita ndiyo maana. Waache kuwachafulia TV stations eti wameminywa na CCM .. walipe bili zao! Oho watakuja kuumbuliwa!