tutakwenda sisi wenyewe kujionea live ... na hii ndiyo itafanya idadi ya watu kuwa kubwa zaidi
katika mwendelezo wa kuibaka demokrasia zipo tetesi zimezagaa mtaani na kwenye vyanzo vya uhakika kuwa,baada ya zoezi la kudhibiti uwanja wa jangwani usitumike kuzindua kampeni za ukawa kushindikana.
Sasa ccm wanahaha kila kona kuhakikisha uzinduzi huo unaotarajiwa kuwa wa kihistoria haurushwi na television yoyote ile nchini.
Tetesi zilizopo ni kuwa ccm wamewalipa walimiki wote wa television nchi kwa siku hiyo pesa nyingi sana.kwa maana hiyo hata kama ukawa watapeleka fedha kulipia matangazo ya moja kwa moja watajibiwa kwa muda huo wapo watu wengine washalipia na haitowezekana kuwa live
na hii imefanyika kwa zile kampuni kubwa kama ipp,sahara media na azam tv
huu ni muda wa wapenda mabadiliko kushikamana na kumtegemea mungu zaidi.
Hakika CCM kiboko! Wamehakikisha hakuna chama kingine cha siasa ambacho kitapata nafasi kutumia viwanja vya mikutano kwa sababu wameandaa matamasha mbalimbali kwa muda wote wa kampeni!
Aidha CCM imehakikisha imelipia katika tv zote muda ambao vyama vingine vingetumia kulipia matangazo yao ya kampeni ili wautumie wao!
Sasa sijui sheria inasemaje katika matumizi makubwa ya fedha katika kampeni!
kweli nyie mna matatizo mnatengeneza mazingira ili mpate kura za huruma kwani television iko moja?
Duh!,mkuki mkali sana huu"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing what's going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"
Kagame, Paul
SOURCE DW
----------------
Note: This qoutation is from one of JF's posts.
Duh!,mkuki mkali sana huu
Nchi hii ina television moja? Na hao ccm wamelipia TV station zote siku hiyo? Mambo mengine mkiambiwa basi changanyeni na zenu