Chama tawala ni chadema au ccm? Maana nashindwa kuelewa! Umuhimu wa vyama pinzani ni kuchalenge chama tawala, angalia kina zito kabwe na wenzie wamefichua maovu mangapi? Tufikirie kwa kina endapo vyama vya upinzani visingekuwepo hii nchi nafikiri ingeuzwa.
Yes, Majiji yote makubwa, au hujapita Masaki, mikocheni, msasani, Regent estates, maji tele tele, umeme wa kumwaga, barabara za lami na mijumba mikubwa mikubwa.
hizo halmashauri zipo chini ya wizara gani? Waziri huyo anariporti kwa nani? anatekeleza ilani gani?Mkuu kuna baadhi ya halmashauri CDM ni watawala na CCM ni wapinzani au sio kweli?
wewe ni mataka wa nape....safari hii tukiandamana tutakuwa kamili wole wenu na hao mbwa wenu mtupige mabomu ya machozi na risasi tutaanza na viofisi vyenu halafu tutamalizia vituo vya polisi...
Kati yako na Flora nani mkubwa?
Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!
watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana![/QUOTE
Rejao.
Mpenda amani wewe huko Arusha, Nasikia Arusha, Karatu, Kilimanjaro, Saruji mfuko mmoja sh5000?
hizo halmashauri zipo chini ya wizara gani? Waziri huyo anariporti kwa nani? anatekeleza ilani gani?
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa rais mimi sikuwepo Tanzania, kumbe nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujotokeza kupiga kura!
Sasa mbona mgombea wa CDM a loser Dr Slaa, anasema alishinda wakati mashabiki wake walikuwa vijiweni wakati Magamba wanakwenda kupiga kura
wewe ni mataka wa nape....safari hii tukiandamana tutakuwa kamili wole wenu na hao mbwa wenu mtupige mabomu ya machozi na risasi tutaanza na viofisi vyenu halafu tutamalizia vituo vya polisi...
Mbona unadanganya umma? CCM imekuwa hai kwa past five years chini ya Fuya Godwin Kimbita(CCM)Mkuu Sahara sio utani CDM kuna Halmashauri inaziongoza na nyingine imekuwa ikiziongoza kwa miaka mingi sasa kama ile ya hai, huko CCM kinabaki kuwa chama cha upinzani. Tuchukulie kama mfano je hayo unayoyakejeli kwa masaki na Regent estate kwenye hizo Halmashauri vinapatikana?
Kati yako na Flora nani mkubwa?
Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!
watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana!
Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.
Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
yaani akili yangu huna hata robo yake.si mngepiga kura zaidi ya nusu ya wapiga kura hamkupiga kura na wewe ni mmojawapo sasa iyo serikali walioiweka waacheni maana waliona inawafaa
akili yako inanisaidia nini? kujifagilia tu huna lolote wewe

Kati yako na Flora nani mkubwa?

Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!

watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana!
TRA kuanzia mwaka huu itakuwa inachukua 2.2 million kama kodi kutokana na mshahara wa 7.4 million wa Askofu na Dk of Cannon Law, Wilbros Slaa! kwa miezi 12 ni sh. mil 26.64!ulitaka tuunge mkono upuuzi wako unaoleta hapa jf? Matatizo ya umeme, mafuta, mauaji ya raia, wizi wa mabilioni nani kaleta km magamba?? Cc 2najivnia sn cdm kwa sbb 1. Cdm imeweza kudhibiti wizi wa ccm wa mil. 16 pe month walizokua wanampa mkurugemzi wa manispaa kwa kisingizio ni za kununu maandazi 2. Kati ya hz mil 16 wamemuachia mkurugenzi mil. 4 tu ya mandazi mil.12 znatumika kuwasomesha wanafunzi wt wa secondary wazaz hawatoi ht 10 3. Maendeleo makubwa ya mji wetu nk. CHADEMA NI MKOMBOZI WA WANYONGE
Join Date : 18th July 2011Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.
Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
hata mimi nawashangaawakati wa uchaguzi mkuu wa rais mimi sikuwepo tanzania, kumbe nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujotokeza kupiga kura!
Sasa mbona mgombea wa cdm a loser dr slaa, anasema alishinda wakati mashabiki wake walikuwa vijiweni wakati magamba wanakwenda kupiga kura

TRA kuanzia mwaka huu itakuwa inachukua 2.2 million kama kodi kutokana na mshahara wa 7.4 million wa Askofu na Dk of Cannon Law, Wilbros Slaa! kwa miezi 12 ni sh. mil 26.64!

Hapa Uone ni kwa jinsi gani CDM wanavyoiibia serikali!
unabooa sana wewe huna mawazo kalime hukositarajii great thinker yeyote kupoteza muda na mabandiko yeynye hoja nyepesi kama haya. Kwani ukiishia kusoma tu ideas za wengine kuna ubaya? Siyo kila anayeingia jf lazima aanzishe thread.so boring!!