CHADEMA bila Dr Slaa inawezekana?

Hizi ni hisia zako, hakuna mtu toka ccm anayeweza kumzidi Dr Slaa. Dr Slaa ni chaguo la watz na ccm na chadema wanalijua hilio. Zingine zote ni story za kufurahisha baraza tu.
 
Ni uongo ambao umechanganywa na habari zinazoweza kuwa kweli ili kuufanya uongo wote uwe ukweli.
Ni sawa na tapeli anapokuja na kukutajia jina lako,kazi yako na hata ulipozaliwa ili tu uuamini uongo wake.
 
Hizi ni hisia zako, hakuna mtu toka ccm anayeweza kumzidi Dr Slaa. Dr Slaa ni chaguo la watz na ccm na chadema wanalijua hilio. Zingine zote ni story za kufurahisha baraza tu.

Mmm! Ukifahamu basic principles of philosophy hutasumbuka na lolote. No human being is indispensable. This makes the premise meaningles
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Watu bwana! ukitaka kusoma matusi humu JF mjadili Silaha. Ingekuwa jukwaani watu wengeweza hata kuvua nguo ili kumtetea hata kama yanayozungumzwa kuhusu yeye ni kweli.
 
Mmm! Ukifahamu basic principles of philosophy hutasumbuka na lolote. No human being is indispensable. This makes the premise meaningles

Dr kuna wakati tunakuhitaji sana hapa jf,
lakini mara nyingi hupatikani kabisa na tunabaki na mwaswali
jf ina watu wengi wanaopenda mabadiliko,hapa ni sehemu ya kutoa taarifa za muhimu sana ambazo magazeti hayawezi kuzitoa
 
Wang'ayo jaribu kujipanga maana unaonekana kuifuatilia Chadema wakati CCM kuna mpasuko mkubwa huko Arusha huku dhana ya kujivua GAMBA imeleta maafa na kuacha majeraha na aibu kwa Chiligati na Nape na chama kwa ujumla. Hebu fikiria eti kampeni Igunga ziliangukia miguuni kwa Rostam naye akatoa masharti ya kuisadia CCM nanyi mkayakubali kwa dhati. Bila wizi na kuhonga wapiga kura ikiwa ni pamoja na kununua shahada za wapiga kura CCM hamtoki 2015. Piga ua garagaza.......Ni heri ya vita inayotafuta haki na usawa, kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu - Godbless Lema
 
CHADEMA ina katiba yake, kwa hiyo yeyote atakaye simama awe Dr. Slaa ama mtu mwingine yeyote anakuwa charged through the party's constitutions.

kadiri siku zinavyokwenda itafikia chadema itakuwa academy ya siasa ya tanzania, so they will no longer need any kigogo from the ruling party, but the ruling party or any other political party ndiyo itakayokuwa na demand ya wapambanaji wa haki na ukweli kutoka chadema!

  • Thanks
Reactions: Ame
Tanzania bila ufisadi inawezekana kabisa! Tanzania bila Magamba tunatainuka
 
Watu bwana! ukitaka kusoma matusi humu JF mjadili Silaha. Ingekuwa jukwaani watu wengeweza hata kuvua nguo ili kumtetea hata kama yanayozungumzwa kuhusu yeye ni kweli.

Mkuu, nadhani hapa siyo suala la matusi, ni suala la hoja. Pamoja na kwamba hakuna mtu aliye indispensable kama Dr Slaa alivyosema hapo juu, hivi kweli wewe unadhani huko ccm kuna nani anayeweza kutoka huko kuja chadema kugombea urais? Ni kiongozi gani wa ccm aliyemsafi na makini kumzidi Dr Slaa mpaka aende cdm na akubalike mpaka kugombea urais? Mambo mengine hayaingii akilini.
 
Mmm! Ukifahamu basic principles of philosophy hutasumbuka na lolote. No human being is indispensable. This makes the premise meaningles

Dr. achana nao hao wasikuumize kichwa tuachie sisi tupambane nao; wewe kazana ku plan for the future of our country, for the expectation of the righteous shall never be cut short and all creations awaiteth for the manifestation of the true sons of God....Matumaini ya wengi yamezimika na giza limetanda if you will ever shut down the dawning light of our aforeseen beutiful country you will never be forgiven not now nor in the coming world, all the best....
 
Dr kuna wakati tunakuhitaji sana hapa jf,
lakini mara nyingi hupatikani kabisa na tunabaki na mwaswali
jf ina watu wengi wanaopenda mabadiliko,hapa ni sehemu ya kutoa taarifa za muhimu sana ambazo magazeti hayawezi kuzitoa

director
Tatizo ni ratiba. Lakini kila wakati nachungulia na kama kuna swali au jambo linahitaji mchango wangu ninajitahidi. Hivyo kama kuna issue nitajitahidi kama ilivyokuwa huko nyuma.
 
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM. Habari zilizopatikana toka ndani ya CHADEMA zinasema, uongozi wa Chama hicho hauridhishwi na utendaji kazi wa Katibu Mkuu huyo kwa kile kinachosemekana kwamba anaingilia shughuli za Chama ngazi za chini kwa mfano MKOA WA KILIMANJARO, uongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa hususani BAZIL LEMA, PHILEMON NDESAMBURO, na LUCY OWENYA wanamlalamikia Dr.SLAA kuendesha uchaguzi katika Kata ya NJORO bila kuwashirikisha , ambapo JOHN JOMBA NKOY alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya NJORO na ABDULRAHMAN YUSUF SHARIFF kuwa Katibu. Aidha Dr. SLAA alijaribu kulipa deni la CHADEMA linalokadiriwa kuwa Tsh. Mil.94 kwa TRA, kitendo ambacho Uongozi wa Chama uliona kama huko ni kujipendekeza kwani kuna madeni mengi tena makubwa ya kulipa hasa yale ambayo anayedai ni Mwenyekiti au swahiba zake. Swali ni, je huwenda ukawa mwisho wa Dr. SLAA ndani ya CHADEMA?MAONI YANGU: Watakuwa hawajamtendea haki Dr SLAA kwa vile ni yeye aliyeng’arisha nyota za watu wa aina mbalimbali na hata Chama kikapata idadi kubwa ya wabunge na kufakiwa kuunda kambi ya upinzani bungeni. Toa maoni yako.

Join Date : 25th October 2011

umejiunga JF kuleta umbea.

karibu jamvini jombraaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mkuu inaonyesha uko vizuri sana katika kusoma dalili za kutokea vitu, hebu nisaidie kitu kimoja hapa. Mke wangu anaanza paper za NBAA kesho vipi kuna dalili zozote kwamba atafaulu? na kwa kiwango gani?
nimeipenda sana hiyo mkuu,umemshika pabaya,sidhani kama ata coment kitu hapo
 
director
Tatizo ni ratiba. Lakini kila wakati nachungulia na kama kuna swali au jambo linahitaji mchango wangu ninajitahidi. Hivyo kama kuna issue nitajitahidi kama ilivyokuwa huko nyuma.

Thank you Dr. Wa ukweli! Najiuliza kwanini Usituchagize tufanye kweli?, yaani tuandamane tuwatimue mafisadi?
 
Back
Top Bottom