navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,520
- 483
Lakini ndio raisi wetu wote na wewe,anasubiri kuapishwa tu,teheee
Madhara ya kunywa viroba kabla hujala
ina huyu kijana anaota asubuhi yote hii

Acha ujuha we ccm asilia nyumbu ww gasho wewe
Hii picha nmeiona miaka miwili iliyopita
Mabadiliko lazima
Madhara ya kunywa viroba kabla hujala
ina huyu kijana anaota asubuhi yote hii
Lowasa ni fisadi kweli hata watoto wadogo wanatambua hilo.
Pole sana mzee lowasa
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.

Manyara ipi unayoizungumzia na hii ninayoifahamu mimi au ni manyara ya lumumba. Kama ni manyara hii ya kwetu hata mtoto mdogo ukimuliza atakwambia rais ni lowasa. walimu na madkari wa hapa wapo mstari wa mbele kumuunga mkono lowasa pia usiwasahau watumishi kada zingine na kwa ujumla wanachi wote hapa tunamkubali lowasa embu angali hapo mafuriko ya babati manyara haijawahi tokea katika historia ya babatiMgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Wewe huja cha...mba shnzy typYeye hata hajihurumii maskin
Kweli tamaa mbele mauti nyuma
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Mzee atakatwa tu,hakuna huluma
mgombea urais kupitia chadema, mh lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja fisadi! Fisad! Fisadi! Wengine wakimtaja dr slaa.