CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

Acha azomewe tu.
Yale mapuuzi ya soweto mbeya mlivyoyatuma yamzomee magufuli yakiongozwa na sugu mliona rahatupu.
Mkuki kwa ngurue, nyani nyie.
 
Nalia na alieruhusu viwanda vya konyagi kujengwa hapa nchini na viroba

Sasa ufisadi wa kikwete nnn?
Ameshtakiwa bungen?
Kuna uthibitisho wowote?
Kuna sehem katajwa labda kwenye documents zozote?

Kuwa makin dada

Mpaka leo ujaujua ufisadi wake subiri soon utaujua. Nchi haiewezi kuendeshwa kwa kucheka cheka hovyo.
 
Eti hapa kazi tu wakati baba ako aaosha vyombo kwa wahindi uko ndio kazi yake, amka wewe bongo lala
 
Chadema haina Chadema asili labda kwenye ccm yenu.
Huku mwanachama ni mwanachama tu.

CHADEMA IMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MENGI

Chadema asili-wafuasi wa Slaa

Chadema kaskazini-ikiongozwa na Mbowe

Chadema maslahi-lowassa,sumaye,makongoro mahanga,masha na wafanyabiashara na mafisadi.

Chadema makapi-hawa ndio wale nyumbu waliotoka kwenye ile safari ya matumaini.wanajiita ulipo tupo,4u na team lowassa.

Chadema majuto-hapa kuna kina professa safari,lissu,lema,kigaila,patrobas,ben saanane na wengine.hawa wanafia na tai shingoni baada ya kujua kuwa lowassa kawaingiza choo cha kike.
 
Lowasa ndiye chaguo la wengi hivyo nawashauri hao wehu wakale mihogo tu
 
CHADEMA IMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MENGI

Chadema asili-wafuasi wa Slaa

Chadema kaskazini-ikiongozwa na Mbowe

Chadema maslahi-lowassa,sumaye,makongoro mahanga,masha na wafanyabiashara na mafisadi.

Chadema makapi-hawa ndio wale nyumbu waliotoka kwenye ile safari ya matumaini.wanajiita ulipo tupo,4u na team lowassa.

Chadema majuto-hapa kuna kina professa safari,lissu,lema,kigaila,patrobas,ben saanane na wengine.hawa wanafia na tai shingoni baada ya kujua kuwa lowassa kawaingiza choo cha kike.

Lowasa ndiye rais wako jinga wewe.Wenye akili tutamchagua na atakuwa rais wenu
 
na naamini tar 25 watanzania tutajitokeza kwa wingi na kumpigia kura za hapana na kumpa magufuli kura za ndiyo,hatutaki kiongozi ambaye ni chachu ya udini,ukabila na ukanda,kiongozi ambaye yy ndiye anaongoza kwa kuwagawa watanzania,kiongozi asiyetaka umoja wa kitaifa ila yupo kwa ajili ya maslahi yake binafsi na marafiki zake....................lowaassa tunaye muongelea kila mtu anajua ni nani,fisadi,mzee wa scotland yard,mzee wa kuvamila ardhi...mchochezi wa migogoro kati ya wakulinma na wafugaji...mzurumishi wa reli ya kati ili kuendeleza kampuni yake ya usafirishaji,kukwepa kodi vodacom tanzania via shivacom alipoiba bilion 6500 na kukwepa kodi tra ya bilion120.....n.k..n.k

Wewe ndiwe Mkanda na Mdini.
Sisi hatulipwi na hao matajiri yako mpaka utushauri tuwachague
Sisi hatununuliki mpaka tuichague ccm.
Ccm imeshindwa miaka 53 itaweza miaka mitano???
Tafakali chukua hatua
Chagua Lowasa.
 
Heheheheee niko babati sehemu mkutano ulipokuwa unafanyika/uwanja wa kwaraa! watu walikaa kuanzia saa tano na wakati mkutano ni saa 10 maelfu ya watu walijitokesa hajawahi kutokea kwa babati watu wakimsubiri rais katika mkutano wake wanne kwasiku mkoani hapa!wewe umechemka na porojo yako hio umechemka
 
Huo ni ulimbukeni wa kisiasa kama mtu humpendi acha kwenda kwenye mikutano wake. Kuandaa mikutano ni ghalama . hivi ushamba wa nini
kumbukumbu sawa na njiwa na wale malofa waliozuia msafara wa tingatinga mbea wakiimba lowasa lowasa badala ya kusubiri oct 25 wampigie kura? eti wanamwimbia magufuli kumtisha akishinda wachie kiti lowassa. wapumbavu kweli!
 
Viongozi JF mada za kitoto kama hizi ndiyo zikiachwa ndiyo zinavunja heshima ya jukwaa hili

Aliye leta huu uzi kadanganya na bado anaachwa
 
UONGOOOOO....stop...ulaghai

Tulikuwepo Babati, hakuna kitu kama hicho...!!
 
Mtoa mada huna lolote huna kaz ya kufanya? mbona hujaweka video yake achani kuandika vitu visivyo vya kweli
 
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.

Wameshtuka wamegoma kununuliwa
 
Acha unafiki
KuFeel sorry kwa mwanakijiji anaetetea taifa kwa kuzuia fisadi lisiende ikulu kuifilis nchi yetu
Badala ya kufeel sorry kwa lowasa anaejinyea hovyo na bdo hatopata nchi

Viva magufuli viva
Kwani hiyo nayo ni sifa ya kumpa mtu nchi?? Acha kuweweseka.
 
Mie na mke wangu kura kwa Lowassa

BVR zimewakamata, hakuna tena janjajanja ya mke hajui kusoma so nitamsaidia kupiga kura. Wasiojua kusoma na kuandika bvr inawajua,watakajaribu kudanganya lazima wakamatike.
 
CHADEMA IMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MENGI

Chadema asili-wafuasi wa Slaa

Chadema kaskazini-ikiongozwa na Mbowe

Chadema maslahi-lowassa,sumaye,makongoro mahanga,masha na wafanyabiashara na mafisadi.

Chadema makapi-hawa ndio wale nyumbu waliotoka kwenye ile safari ya matumaini.wanajiita ulipo tupo,4u na team lowassa.

Chadema majuto-hapa kuna kina professa safari,lissu,lema,kigaila,patrobas,ben saanane na wengine.hawa wanafia na tai shingoni baada ya kujua kuwa lowassa kawaingiza choo cha kike.

OYOOOOOO
BASI TUNACHUKUA NCHI MAPEMAAAA KABLA YA MISA YA PIL MAANA TUPO MAKUND KIBAO!!!!!!!

KWEL LOWASSA ANAPENDWA Duuuuu
 
Kwani hiyo nayo ni sifa ya kumpa mtu nchi?? Acha kuweweseka.

Sasa ww huon ni tatzo hilo
kama mtu ameshindwa kukontrol n wakat gan kinyes kitoke na n wakat gan kisitoke
ataweza kweli kuwa amiri jeshi mkuu?

Lowasa hatoshi kuwa rais
Nunuen kisiwa huko mmpe urais
 
Back
Top Bottom