Safi sana wote mnaobandika picha bora kwenye nyuzi kama hizi, maana mimi nikuona uzi dizaini hii kutoka kwa wageni wa jamvi, huwa nabonyeza straight kwenye picha nikiona hakuna ushahidi napita kimya kimya
Hiyo tabia viongozi wa cdm ndoo waliwafundisha wafuasi wao. Lkn itakuja kuwa Sugu na itawasumbua wao wenyewe viongozi wa cdm. Wewe subili cdm ishidwe utayaona matokeo yake . mbowe hawatomuelewa kwa kumtosa slaa na kumleta lowassa
Ulilipwa pesa yako ya kuzimia kule tanga?
Kupenda picha sio issue mkuu, cha muhimi ni kwamba yanayobandikwa kwenye jamvi humu ni mengikuna ya kweli na ya uzushu, kuna ambayo ni hoja na yatajibiwa na hoja, na kuna yanayohitaji ushahidi kama hili la kwenye huu uziUnapenda picha?
Haha
Humu sio instagram
Humu ni hoja kwa hoja
Picha peleka insta
na naamini tar 25 watanzania tutajitokeza kwa wingi na kumpigia kura za hapana na kumpa magufuli kura za ndiyo,hatutaki kiongozi ambaye ni chachu ya udini,ukabila na ukanda,kiongozi ambaye yy ndiye anaongoza kwa kuwagawa watanzania,kiongozi asiyetaka umoja wa kitaifa ila yupo kwa ajili ya maslahi yake binafsi na marafiki zake....................lowaassa tunaye muongelea kila mtu anajua ni nani,fisadi,mzee wa scotland yard,mzee wa kuvamila ardhi...mchochezi wa migogoro kati ya wakulinma na wafugaji...mzurumishi wa reli ya kati ili kuendeleza kampuni yake ya usafirishaji,kukwepa kodi vodacom tanzania via shivacom alipoiba bilion 6500 na kukwepa kodi tra ya bilion120.....n.k..n.k
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Acha unafiki
KuFeel sorry kwa mwanakijiji anaetetea taifa kwa kuzuia fisadi lisiende ikulu kuifilis nchi yetu
Badala ya kufeel sorry kwa lowasa anaejinyea hovyo na bdo hatopata nchi
Viva magufuli viva
Mzee lowasa utavuna ulichopanda, hapo bado hujaanza kutumikia kifungo
Kupenda picha sio issue mkuu, cha muhimi ni kwamba yanayobandikwa kwenye jamvi humu ni mengikuna ya kweli na ya uzushu, kuna ambayo ni hoja na yatajibiwa na hoja, na kuna yanayohitaji ushahidi kama hili la kwenye huu uzi
Wangeweka vidio sasahivi hawa teamgovinda
Hivi nyie mnaomuita Lowassa fisadi kunafisadi kama huyo alieko Ikulu kwa sasa. Mmeshauzwa hamjitambui gas na rasilimali zetu wameuziwa wachina. Ndio maana mna haha chama kingine kisiingie Ikulu kujua siri zenu.