Huo ni ulimbukeni wa kisiasa kama mtu humpendi acha kwenda kwenye mikutano wake. Kuandaa mikutano ni ghalama . hivi ushamba wa nini
Hapa ni kazi tu
Lowasa ni fisadi kweli hata watoto wadogo wanatambua hilo.
mwambieni dr.mohogo avae kabisa kijani aje kwenye kampeni.........hahah
marafiki wametupa pesa tutajenga shule na hospital...........hah hah hah
Acha kudanganya umma kwani mimi mwenyewe nilikuwepo uwanjani na nilichoshuhudia ni mapokezi ya kishindo kwa Lowasa.Babati yote ilizizima kuja kumsikiliza Raisi.
Bado una matumaini,pole
Itakua unatumia powerbank yani tabia zako kma martin kadinda
Wanamfurahisha boss wao. .....
Buku 7, hawataki hata kuchanganya na za kuambiwa. ...
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Acha kudanganya umma kwani mimi mwenyewe nilikuwepo uwanjani na nilichoshuhudia ni mapokezi ya kishindo kwa Lowasa.Babati yote ilizizima kuja kumsikiliza Raisi.
Hapo ndiyo uwanja wa Kwaraa Babati.