CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

na naamini tar 25 watanzania tutajitokeza kwa wingi na kumpigia kura za hapana na kumpa magufuli kura za ndiyo,hatutaki kiongozi ambaye ni chachu ya udini,ukabila na ukanda,kiongozi ambaye yy ndiye anaongoza kwa kuwagawa watanzania,kiongozi asiyetaka umoja wa kitaifa ila yupo kwa ajili ya maslahi yake binafsi na marafiki zake....................lowaassa tunaye muongelea kila mtu anajua ni nani,fisadi,mzee wa scotland yard,mzee wa kuvamila ardhi...mchochezi wa migogoro kati ya wakulinma na wafugaji...mzurumishi wa reli ya kati ili kuendeleza kampuni yake ya usafirishaji,kukwepa kodi vodacom tanzania via shivacom alipoiba bilion 6500 na kukwepa kodi tra ya bilion120.....n.k..n.k
 
mgombea urais kupitia chadema, mh lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja fisadi! Fisad! Fisadi! Wengine wakimtaja dr slaa.

lowassa hawezi kuzomewa maana nchi nzima watu wanampenda haweki fiesta ila mikutano inafurika kuliko ya fiesta...najua propaganda za maccm ya wanataka kulipa kisasi maana magufuli alizomewa mbeya kwahiyo wanaandaa makundi ya vijana kutaka kumzomea ila akifika wanajikuta wameanza kumshangilia kwahiyo hawajafanikiwa maccm tayari yangeweka video kama hilo lingekuwa limetokea ndiyo agenda ambayo wangebeba maana wamechanganikiwa
 
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Propoganda za kijinga kama hizi ndo zinaimaliza CCM kabisa. Hakuna CHADEMA asilia ila kuna CCM wanaojifanya CHADEMA .Wasipokuwa makini hawa ndo watachafua amani na mimi nina uhakika watakoumia ni CCM kwa sababu wamebaki wachache sana.Kumbukeni kuna maisha baada ya uchaguzi na kila mtu atavuna alichopanda.
 
weka ushahidi acha mipasho wewe kada..
kuna makada wanatumika kueneza uzushi na mipasho..
 
Attachments

  • 1443844207964.jpg
    1443844207964.jpg
    51.1 KB · Views: 146
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
hii wala haitawasaidia akina Mwanakijiji... at most watasababisha vurugu kwenye mikutano, which is something UKAWA can do better because majority ya vijana wa kitaa wako UKAWA

Msisherehekee sana haya halafu mkarudi kwenu detroit na kuacha watu wanatoana ngeu

CC: Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
ccm mwaka mnalo! Mnajiita cdm asilia?

Arusha na Manyara hamlambi jimbo hata moja mwaka huu, mnitafute tar 26/10
 
I feel sorry for Mzee Mwanakijiji.

Acha unafiki
KuFeel sorry kwa mwanakijiji anaetetea taifa kwa kuzuia fisadi lisiende ikulu kuifilis nchi yetu
Badala ya kufeel sorry kwa lowasa anaejinyea hovyo na bdo hatopata nchi

Viva magufuli viva
 
na naamini tar 25 watanzania tutajitokeza kwa wingi na kumpigia kura za hapana na kumpa magufuli kura za ndiyo,hatutaki kiongozi ambaye ni chachu ya udini,ukabila na ukanda,kiongozi ambaye yy ndiye anaongoza kwa kuwagawa watanzania,kiongozi asiyetaka umoja wa kitaifa ila yupo kwa ajili ya maslahi yake binafsi na marafiki zake....................lowaassa tunaye muongelea kila mtu anajua ni nani,fisadi,mzee wa scotland yard,mzee wa kuvamila ardhi...mchochezi wa migogoro kati ya wakulinma na wafugaji...mzurumishi wa reli ya kati ili kuendeleza kampuni yake ya usafirishaji,kukwepa kodi vodacom tanzania via shivacom alipoiba bilion 6500 na kukwepa kodi tra ya bilion120.....n.k..n.k

Tanzania haitaku na haitawahi kuwa na rais aitwaye ngoyai
Muasisi wa ufisadi Tanzania
 
lowassa hawezi kuzomewa maana nchi nzima watu wanampenda haweki fiesta ila mikutano inafurika kuliko ya fiesta...najua propaganda za maccm ya wanataka kulipa kisasi maana magufuli alizomewa mbeya kwahiyo wanaandaa makundi ya vijana kutaka kumzomea ila akifika wanajikuta wameanza kumshangilia kwahiyo hawajafanikiwa maccm tayari yangeweka video kama hilo lingekuwa limetokea ndiyo agenda ambayo wangebeba maana wamechanganikiwa

Lowasa hajawahi kupendwa Tanzania
Tabia yake ya udokoz tangu mdogo ndio iliyowakera watanzania
 
Back
Top Bottom