CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

Mapirobe

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
683
Reaction score
117
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
 
Tuondoleee ungese wako hapa jf
 
Mzee lowasa utavuna ulichopanda, hapo bado hujaanza kutumikia kifungo
 
Huo ni ulimbukeni wa kisiasa kama mtu humpendi acha kwenda kwenye mikutano wake. Kuandaa mikutano ni ghalama . hivi ushamba wa nini
 
Inaonekana unapenda sana huo semo wa chadema asilia
 
HUYO MLAA MIOGO ANAYEWEZA KULIPIA MIKUTANO YA MILION 80 ni mwepezi kuliko ZITTO akiwa njee ya cdm

IKIWA SLAA anadhan ana mvuto kwa watz aanzishe chama chake kwa kuwa amefeli kutushawishi tuipende ccm

Mzee anajuta kujiunga chadema.
 
mwambieni dr.mohogo avae kabisa kijani aje kwenye kampeni.........hahah
marafiki wametupa pesa tutajenga shule na hospital...........hah hah hah
 
huyu alikuwezo au ndio zile propaganda za mwaka 47?
 
Back
Top Bottom