CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.

Acha kudanganya umma kwani mimi mwenyewe nilikuwepo uwanjani na nilichoshuhudia ni mapokezi ya kishindo kwa Lowasa.Babati yote ilizizima kuja kumsikiliza Raisi.
 
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.

LOWASSA amepokelewa kifalme Nanyara Leo, mji ulitikisika! Hayo yako umeyatoa wapi ndugu? Uongo ni dhambi! Mods sijui kwanini wanaachia ujinga kama! Ushahidi uko wapi? Mbona Magufuli alizomewa Mbeya na ushahidi ulikuwepo humu.
 
Achana nao hao mkuu wote tunawaelewa IT ya masaki waajiriwa wa kipara wapo mzigoni daily.
 
Lowasa ni fisadi kweli hata watoto wadogo wanatambua hilo.

Bahati nzuri wengi wenu mnao mponda Lowasa ni member wa September. Hii ina dhihirisha kwamba ni account Lumumba mpya. Sie MALOFA KWA UBORA WETUUUUUU!!!!!! 😛lane:
 
Alijua atapata watu wa kumuunga mkono na hiyo swaga yake ya Chadema asilia, ameona hana jipya basi afanyaje ili alipwe!! Amepwaya sana, Mungu mbariki Lowasa, Mungu wabariki Ukawa, Mungu wabariki Watanzania wakafanye maamuzi yakupendezayo wewe Amina.
 
Propaganda wakati mwingine zinasaidia lakini sio mara zote. Hizi zako zimeshindwa kufikia lengo.
 
Mzee lowasa utavuna ulichopanda, hapo bado hujaanza kutumikia kifungo

Akili ya kuambiwa changanya na zako.Siyo kila kinachoandikwa unakubaliana nacha,karibu kuishughulisha akili yako.Ulimwengu wa digital huu angetupia hata video.Usitumike kijana Jiongeze.
 
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.

Picha please or sweet dreams
 
Maneno ya lumumba hayo,,,utakuta ana andika maneno hy lkn yuko mtwara hukooo
 
Hapo ndiyo uwanja wa Kwaraa Babati.
 
Attachments

  • 1443809576196.jpg
    1443809576196.jpg
    64.9 KB · Views: 478
..mazezeta ya lumumba yana tabia ya kuanzisha thread yenyewe halafu yanaijaza kwa michango ya kijinga yenyewe.!
 
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
MTUMWA WW ONGEA KITU ULICHO NA UHAKIKA SIO KUFURAHISHA NAFAI YAKO ,WW NI SAWA NA MTU ANAE JAMBA HUKU AMEVAA HEADPHONE AKIDHANI HATUSKII USHUZI KAMA YY ASIVYOSIKIA AKIJAMBA KWA KUA KAZIBA MASKIO NA HEADPHONE ZAKE SEEN ATTACHMENT
Kama UNABISHA KWA KUA UMETUMWA KUDANGANYA WATU LETE NA WW YA KWAKO
SIJATAKA KUWEKA ILE YA AUNT EZEKIELI AKIMTUKANA NAPE MNAUYE WAKATI AUNT MMEMHONGA AJITOE UKAWA MWEZ ULIOPITA NA MWENZIE KIGOSI
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    72 KB · Views: 427
Acha umbea, kamua mkwanja hapa hadi zaidi ya 500,000 kwa mwezi
http://jobrize.com/index.php?ref=413804
 
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.

Vijana wa IT kazi maalumu mpo wengi kama ukoo wa popo ama panya,ila kadri Oktoba,2015 inavyokaribia ndivyo mtakavyokuwa mnapukutika kwa missions zenu kufeli kabisa!!..Lowassa amekuja kuwashikaaa!
 
Mada za siku hizi bhana.....!!!

Mtu anatoka kushikwashikwa na kupuyangwa na mumewe bila hata kuuosha maungo yake mbiooooooooo Jf kuanzisha thread..!!! Kama huyu hapo na mada yake... kamuhudumia mumewe, mbiooooooooo chooni, katoka kuhara huko, mbiooooooooo Jf bila hata kunawa mikono, kakalia keyboard anaandika Mada hapa..!!

Ukimuuliza anakimbilia wapi? hivi anajibu la kutoa?

BACK TANGANYIKA
 
Kuzomea siyo hekima, kama kuhusu ufisadi wa lowasa kila mtu anafaham kuwa LOWASA NI FISADI.
 
Back
Top Bottom