CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

lazima tuandamane bila kuogopa vitisho vya polisi kesho lazma tujitokeze kwa wingi hakuna mwenye uwezo wa kushindana na nguvu ya umma ..WAZALENDO WENZANGU MSIKATE TAMAA MUDA WA UKOMBOZI UMESHAKARIBIA VIVA CDM DAIMA

Hiyo nguvu ya Umma mbona haikuonekana Jana pale Jana? Mkuu lakini huko kikosi gani hapo? Wewe ni MauMau au Mapambano Daima?
 
Mbona mnaanza kupingana na wenzako. Wasiliana kwanza na Mtoi, Molemo, Mungi nk

Acha ujinga wewe.Mleta uzi ambaye wakati wanekaa na watu wa TISS ambapo kupitia njia zao wazijuavyo wakishirikiana na viongozi wa ccm,wameamua kuanza video yao kwa kudai chadema inamajeshi.
Usalama wa Taifa tangu lini kwa weredi wao,wasijue chadema inamajeshi?

Chadema kwa mujibu wa katiba, wanawajibika kulinda maandamano haya ya amani na si mjadala.

Tumepewa taarifa,polisi wa Arusha wakishirikiana na greenguard,mmeandaa vijana wakiwa na sare za chadema ambao watatokea kila upande wakipiga watu,wakiiba vitu madukani na kudanya fujo ya kila aina.Mpango huu umeandaliwa kupitia kitengo cha usalama wa Taifa TISS.

Ni ushauri tu,acheni uchochezi,kwa nini mnahangaika na chadema kama ilivyokuwa kwa Cuf,Nccr mageuzi?

Muelewe kuwa chadema haitakufa katu,mbinu zaidi tu mtaonesha udhaifu mkubwa kiutendaji.
watu hawana ajira,nyie mnakesha kuijibu chadema,wanafunzi wanafeli nyie ni chadema tu
Ndani ya TISS tunaowatu waaminifu wanaotujuza kila kukicha,na wanaccm ambao wanasubiri tu kugawana mbao.
Peopleeeezzzzzzzz!
 
Mkuu, akina Molemo, Mungi na Mohamed Mtoi wanajua siri ya uzi huu. Ndo maana wamekimbia. Wewe unaleta propaganda za ajabu sana. Pole ndugu. Hapa mmeumbuka
 
Hivyo ni vikosi vyenu. Vipi mnavikataa? Ukiona machadema yamekujamyote humu basi ujue kuna siri kuu imefichuliwa. Mohamed Mtoi, Mungi, Molemo. Bado Crashwise ataingia soon

kuna sehemu nilisoma coment ya mtu alikwambia mama yako alikuzaa kupitia tundu la kunyea hivyo ulikula ma.vi ya mama yako kwa wingi ndio maana akili yako inamchanganyiko wa mav.i
 
.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

UMEKIONA HICHI CHAMA. macho kumchuzi amewakoroga akili zao zinasoma ki.se.nge.le.nyuma
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

andamaneni muone! Si mmeona wenzenu dar jana na morogoro leo? Tena kesho kuna minuso ya harusi msituharibie kabisa.
 
Mkuu, akina Molemo, Mungi na Mohamed Mtoi wanajua siri ya uzi huu. Ndo maana wamekimbia. Wewe unaleta propaganda za ajabu sana. Pole ndugu. Hapa mmeumbuka

Bado tunasisitiza kuwa mbinu hizo tumezijua hakuna kitakachopita bila chadema kujua,chadema ni zaidi ya uijuavyo,jiulize kwa nini mpango huu wa TISS na ccm umevuja?
Hivi sasa kuna Askari takribani 100, wamelipia fast jet kesho kwenda kufanya vurugu hizo,wakiwa kwenye mavazi ya kiraia
 
kuna sehemu nilisoma coment ya mtu alikwambia mama yako alikuzaa kupitia tundu la kunyea hivyo ulikula ma.vi ya mama yako kwa wingi ndio maana akili yako inamchanganyiko wa mav.i

Hawa ndio vijana wa Chadema, Hazina ya Chama.....

Wanachojua ni matusi.
 
Mfumo wa Chama chetu bora chenye watu wenye hekima hatuna nia ya kuchochea maandamano yenye kumwaga damu nia yetu ni kuleta mabadaliko na ukombozi kutoka ufisadi wa watu wachache wanao wanyonya wanyonge kwahiyo maridhiano ya maandamano ni ya amani na sio kuleta vita..
 
Polisi wakifanya kazi yao ipasavyo! Kesho itakuwa ni siku nzuri sana!
 
Back
Top Bottom