CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

lazima tuandamane bila kuogopa vitisho vya polisi kesho lazma tujitokeze kwa wingi hakuna mwenye uwezo wa kushindana na nguvu ya umma ..WAZALENDO WENZANGU MSIKATE TAMAA MUDA WA UKOMBOZI UMESHAKARIBIA VIVA CDM DAIMA
 
Mkuu, ndo maana akina Mungi, Molemo na Mohamed Mtoi wamekimbia uzi huu baada ya kuumbuliwa. Wapi Mkuu MSALANI? Mwambie RPC Arusha juu ya uwepo wa vikosi hivi.


Lizaboni

Habari zote RPC anazo.... Tunawasubiri tu watoe Pua. .
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanaJeshi.... Wana vijana wa Mau Mau ... Wana Majasusi.... Wanaongozwa na Henry Kilewo.
 
Last edited by a moderator:
Polisi Wataingilia kuwalinda Wananchi na Uhuni wa Chadema.
afadhali hata ingekuwa kulinda raia, bali lengo lao ni kuua na kujeruhi raia. Jukumu lao ni kulinda hayo maandamano na sio kufanya kama wanavyofanya polisccm!
 
pamoja na zuio batili la polisiccm hapa arusha.tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la philips,maandamano yetu yapo pale pale.kimsingi zuio la polisi ni batili na hawana mamlaka hiyo.chadema tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,ukombozi wa fikra 335,mapambano daima,mau mau,pamoja na el che guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

tuko pamoja mkuu saa ya ukombozi yaja sasa, mwanza turatibu utaratibu utapokuwa tayari tutangaza
 
Mwigamba na washenzi wenzie bado wanawaza kwa kutumia tundu la chooni.... mtuachie chadema yetu nyie

Mungi kwanini huwa unafikiri matusi ni suluhu?
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanataka maandamano arusha ili wafanye wizi na uporaji kwa raia na wafanyabiashara

Hawa wajinga wa CHADEMA wanatuleta vurugu !? .....khaaa ! yaani wengine bado tunahangaika na Biashara (Utalii) wageni hamana na mzunguko uko chini.
Mwenyezi Mungu walaani CHADEMA !..........kila mpenda kheri na awalaani wapenda shari CHADEMA !

phhtuuukaa !
 
nimepita mitaa ya fire, lile gari la maji choma choma lilikuwa linajaza maji tayari kwa shughuli ya kesho.... mimi sipo
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Hakika hiki chama kitaleta machafuko nchini kumbe wana vikosi kabisa! Bila shaka hivi ndio vimekuwa vikitumiwa kujilipua na kusingizia jeshi la polisi!

Ngoja tuone mtakavyo pambana! Hakika nyie ni kama M23
 
Back
Top Bottom