CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

Bado tunasisitiza kuwa mbinu hizo tumezijua hakuna kitakachopita bila chadema kujua,chadema ni zaidi ya uijuavyo,jiulize kwa nini mpango huu wa TISS na ccm umevuja?
Hivi sasa kuna Askari takribani 100, wamelipia fast jet kesho kwenda kufanya vurugu hizo,wakiwa kwenye mavazi ya kiraia

Kwani wewe huko kikosi gani?
 
lazima tuandamane bila kuogopa vitisho vya polisi kesho lazma tujitokeze kwa wingi hakuna mwenye uwezo wa kushindana na nguvu ya umma ..WAZALENDO WENZANGU MSIKATE TAMAA MUDA WA UKOMBOZI UMESHAKARIBIA VIVA CDM DAIMA

Huko MauMau au ujasusi?
Sisi yetu macho kuona mtakavyo Pambana na jeshi la polisi kwa kutumia hivyo vikosi vyenu!
 
Lema angetumia fursa hii kwenda kuwaona jamaa zake aliowaacha gerezani.
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

.
hili bandiko kama halijawekwa hapa jukwaani na Nape kwa ID bandia basi litakuwa limebandikwa na book salba Lumumba.
.
 
Mungi yuko kikosi cha MAU MAU. Molemo yuko kikosi cha EL CHE GUEVARA.. Chadema wana mabomu ya kutosha kulipua arusha kesho
 
Huyu mhuni anajiita Mwan mpambanaji hana lolote zaidi ya kuonesha uchochezi pasi na sababu.

CHADEMA haina jeshi na haina mpango wa kuwa na Jeshi. Maandamano yetu ni ya Amani na Mungu ndie nlinzi wetu dhidi ya hila za mwovu huyu CCM na policeCCM na vibaraka vyao.

mleta thread lengo lango hasa sio jema japo tunawaasa watu wote bila kujali itikadi ya kisiasa au chama tuandamane na kupasa sauti zetu kupinga uonevu. Narudia tena tujitokeza sote wapenda maendeleo na mageuzi ya kweli...

Ina maana hata Redbregade sio chenu tena? Aliyeleta habari ni kamanda na pengine yuko kikosi cha Mapambano Daima!
 
Last edited by a moderator:
Jk hayupo nchini order ashatoa mtu auwawe kesho kama kawaida yake. kujikwepesha lawama.
 
Ondoa unafiki wako na uchochezi hapa.

Wewe ni wkibaraka wa CCM na hivi vikosi unavyotaja ni uongo mtupu.Chadema haina majeshi na inalindwa na Mungu aliye juu.

Wao wana silaha na sisi tunamtegemea Mungu.

Thread closed.
 
Back
Top Bottom