CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Kweli nimeamini Intarahamwe na vibaraka wake wanauchochezi tena wakizamani sana lakini mtashindwa tu kwani chadema nimpango wa Mungu . Tulianza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu Arusha ndio home kwa Chadema
 
Mnajifurahisha tu hapa,subirini kesho muone shughuli!2naenda kutetea vizazi vyenu mbwa ninyi,hamjielewi!wanaowa2mia wanachekelea kuwageuza red pepeta!
Mnatia hasara 2 nchi hii
 
Lizaboni..

Huyu Jamaa Wameshaanza Kutofautiana....


Jeshi limejiandaa kupambana na hawa Wahuni...
Mkuu, ndo maana akina Mungi, Molemo na Mohamed Mtoi wamekimbia uzi huu baada ya kuumbuliwa. Wapi Mkuu MSALANI? Mwambie RPC Arusha juu ya uwepo wa vikosi hivi.
 
Hiyo njia yenu kila siku kuaminisha umma kuwa 'cdm chama cha kighaidi'.....ebu jaribu tena kuua kama mlivyofanya arusha...mhumbuliwe na kamera zetu. CDM mpango wa Mungu.
Nasisitiza kuwa kesho CHADEMA itaua na kuisingizia polisi. Intelijensia yangu inaonesha hivyo. Mtanihukumu hiyo kesho
 
Polis wataingilia hayo maandamano na kujeruhi na kuua watu. Hiyo ndo sifa ya polis wa tanzania.
 
Nasikia vikosi vya ujasusi chadema vimejiandaa na silaha za moto.kupambana na polisi..niko kaloleni hapa kikosi cha chadema MAU MAU wanakusanya mapanga na bunduki kupambana na Polisi KESHO NI VITA ARUSHA.

Maana wewe ndio uliwapa hizo sila? Chadema siyo Intarahamwe
 
Mnajifurahisha tu hapa,subirini kesho muone shughuli!2????naenda kutetea vizazi vyenu mbwa ninyi,hamjielewi!wanaowa2????mia wanachekelea kuwageuza red pepeta!
Mnatia hasara 2?????? nchi hii

Huu Uandishi wa Kitoto...

Kesho Tunawasubiri Barabarani...
 
Kweli nimeamini Intarahamwe na vibaraka wake wanauchochezi tena wakizamani sana lakini mtashindwa tu kwani chadema nimpango wa Mungu . Tulianza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu Arusha ndio home kwa Chadema
Yaani huyu Mwan Mpambanaji leo mnamkataa? Nenda kwenye profile yake uone jinsi alivyosaidia kujenga CDM
 
Huyu mhuni anajiita Mwan mpambanaji hana lolote zaidi ya kuonesha uchochezi pasi na sababu.

CHADEMA haina jeshi na haina mpango wa kuwa na Jeshi. Maandamano yetu ni ya Amani na Mungu ndie nlinzi wetu dhidi ya hila za mwovu huyu CCM na policeCCM na vibaraka vyao.

mleta thread lengo lango hasa sio jema japo tunawaasa watu wote bila kujali itikadi ya kisiasa au chama tuandamane na kupasa sauti zetu kupinga uonevu. Narudia tena tujitokeza sote wapenda maendeleo na mageuzi ya kweli...
 
Last edited by a moderator:
Kweli nimeamini Intarahamwe na vibaraka wake wanauchochezi tena wakizamani sana lakini mtashindwa tu kwani chadema nimpango wa Mungu . Tulianza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu Arusha ndio home kwa Chadema

Naona mmeshaanza kukana mabandiko yenu
 
Back
Top Bottom