CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

Ondoa unafiki wako na uchochezi hapa.

Wewe ni kibaraka wa CCM na hivi vikosi unavyotaja ni uongo mtupu.Chadema haina majeshi na inalindwa na Mungu aliye juu.

Wao wana silaha na sisi tunamtegemea Mungu.

Vikosi tena!!!!! Hala hala CDM msituletee ya DRC hapa
 
Hakuna atakayeishi hapa duniani kwa amani huku akinyanyasa wenzake kisa tu ana mamlaka!,
mpango wa kuua,kujeruhi ipo siku mungu atatoa adhabu sitahiki.

Adolf Hitler aliwazika wayahudi wakiwa wazima,aliwaua kwa kuwatupa kwenye pipa la tindikali,lakini leo imekuwa historia.

Vipigo walivyopata waandishi wa habari juzi na mwangosi,damu yao haitapita bure!

Eliya alimwambia mfalme Ahabu mzoga wako utaliwa na ndege! ,ccm iko kwenye bonde la kukata maneno,kivuli cha mauti kinawasogelea,endeleeni kujifariji kupitia polisi!
Wewe unatoa mifano gani serikali iliyopo ni ya kidemokrasia imechaguliwa na wananchi la msingi nendeni kwa wananch tangazeni sera zenu maandamo hayawezi kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom