CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

Ccm Mtaangaika Sana Arusha Chadema imewashika pabaya sana na baado mwaka huu siyo mtafukuzana tu officini Arusha nakupigana juu.. Mjini habari yote nichadema na baado delete ccm ipo pale pale mtaikubali tuu Chadema
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatuu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Ha ha ha ha kweli ccm imechoka ndo usalama wanawasaidia kwa style dhaifu hivi? Kweli ndo maana mmeshindwa kabisa kuliongoza hili taifa kama mnatumia very cheap means like this.

Hamuwezi kulinda amani kwa kuvunja amani hata siku moj
 
Hamuwezi kulinda amani kwa kuvunja amani hata siku mojaa
 
Ama kweli nyinyi mambumbu watumwa wa akili huyo mboe mwenyewe huyo Afrka kusini nyinyi huku vifuu tundundu mnataka kuvunjwa miguu kuweni na akili msiwe wapumbavu nyinyi wahuni na mnataka kutumia maandamano hayo na kufanya vurugu kupora vitu vya watu tu wezi wakubwa kama kweli yy mboe jemadari mbona kakimbia hahaaa
 
Mbowe amekimbia maandammano. Ameiacha misukule yake ivunjwe viuno
 
Nimepita asubuhi na mapema maeneo ya Arusha mjini napishana na Magari ya polisi tu ,Kilombero wako polisi zaidi ya 20 tayari,nimepita Metro hali ni hiyo hiyo ,polisi wakutosha .
Trafic wamemwagiga kuhakikisha hakuna msongamano wowote wa magari kwa mda wote

Hali ni shwari
 
Kwani wewe huko kikosi gani?

Kwa taarifa nyeti ndg yangu,kutoka ndani ya ccm,polisi walioandaliwa, wengi hawatakuwa na sare za jeshi,Kazi kubwa nimekwambia ni kupiga,na wengine watakuwa wanasare wakitumia mbinu za kijasusi kuvamia maduka na kuiba.
Mimi sitambui vikosi unavyovitaja ndani ya chadema.hivi ni kwa nini badala ya kutatua matatizo ya wananchi kazi yenu ccm ni kujenga ujangili?

Kwa nini mnafundisha vikosi vya kufamya uvunjifu wa amani?, Tuna taarifa ya wale mliowatoa mbeya,singida na Dodoma.
Usipindishe eti mtoi,nyerere,ben na mimi tuko vikosi gani elezeni kwa nini mleta uzi na ccm waliomtuma vikosi vyenu hivyo mnaviandaa kuvuruga amani ya nchi?
 
Kikosi cha ujasusi cha Chadema MAU MAU Leo kitaongoza mashambulizi kutokea Unga ltd
Hao ndio chipukizi mliokuwa mmewaweka kambi singida,wakiwa na sare zisizoiva za chadema ndio wataanzia kufanya fujo,tunarudia tena taarifa za mpango mukioutangaza tumearifiwa leo mtaumbuka kabisa
 
Ama kweli nyinyi mambumbu watumwa wa akili huyo mboe mwenyewe huyo Afrk
a kusini nyinyi huku vifuu tundundu mnataka kuvunjwa miguu kuweni na akili msiwe wapumbavu nyinyi wahuni na mnataka kutumia maandamano hayo na kufanya vurugu kupora vitu vya watu tu wezi wakubwa kama kweli yy mboe jemadari mbona kakimbia hahaaa

Hatuandamani kwa sababu ya fasheni,tuambie wewe kwa nini ccm inataka kuifanya elimu ya msingi iwe drs la l-kidato cha 12? Wakati watoto wenu wakisoma nje?, kwa nini suala la maji limekuwa ndoto hata maeneo yaliyo na mito na maziwa?, kwa nini ruahwa imekuwa sehemu ya maisha ya ccm kutoka uchaguzi wa kura za maini hadi nafasi za ajira?, kwa nini ccm inatunga sheria lakini viongozi wao wanakuwa wa kwanza kuzivunja?, wanamtungia nani?,

Kwa nini ccm, imekuwa mstari wa mbele kuuza ardhi ya wananchi wake,na hakuna hatua? KDA kigamboni,ifakara nk?

Kwa nini huduma za afya hakuna ila kuna majengo tu?, kwa nini bidhaa za wakulima soko lao na bei haitabiliki?, kwa nini wizi wa raslimali zetu kama madini ya almasi mwekezaji tangu 1944 hadi leo hajalipa kodi?, kwa nini basi kodi za makampuni ya mawasiliano hailipwi?,

Kwa nini wanafunzi wanaendelea kufeli,huku ccm ikiendelea kushusha alama za ufaulu?, kwa nini ccm inasema inalipa ruzuku 25000/ tsh kwa kila mwanafunzi bungeni lakini kiukweli kila mwanafunzi anapewa tsh 5034 tu?

Niambie kwa nini watanzania wasiandamane wakati, wakati walimu wanalipwa tsh 299400, fedha hizo alipe pango,umeme,maji,matibabu( kwani dawa nyingi ni za kununua) atashindwaje kuandamana? Kwa nini wafanyabiashara wadogowadogo wanaofukuzwa huku na kule huku wakiambiwa maisha bora kwa kila mtanzania lakini wakipigwa,wakionewa na kunuanyaswa kwa nini wasiandamane?

Chadema hatuna jeshi tutaandamana na polisi hawahawa wanachofanya siku moja watakumbuka tabia ya polisi waliokuwa wakifanya pale soweto SA,india,kenya,Ghana na nchi zenye denokrasia halisi
 
Makamanda akikisheni mnawaaga wake zenu na wazazi wenu kuna uwezekano wengine wasirudi wazima.
 
Makamanda akikisheni mnawaaga wake zenu na wazazi wenu kuna uwezekano wengine wasirudi wazima.

Hakuna atakayeishi hapa duniani kwa amani huku akinyanyasa wenzake kisa tu ana mamlaka!,
mpango wa kuua,kujeruhi ipo siku mungu atatoa adhabu sitahiki.

Adolf Hitler aliwazika wayahudi wakiwa wazima,aliwaua kwa kuwatupa kwenye pipa la tindikali,lakini leo imekuwa historia.

Vipigo walivyopata waandishi wa habari juzi na mwangosi,damu yao haitapita bure!

Eliya alimwambia mfalme Ahabu mzoga wako utaliwa na ndege! ,ccm iko kwenye bonde la kukata maneno,kivuli cha mauti kinawasogelea,endeleeni kujifariji kupitia polisi!
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Matangazo yenu ya kishujaa, tukutane ktk mechi sasa hivi PUNGuzeni figisu figisu token barabarani kichafuke
 
Mpaka kieleweke......hii mifisadi imefikia hatua mbaya sn iko tayari kunywa damu za watu wanaoandamana kwa amani
 
Mungi Mbona huji na Updates? Nimeona polisi wamejipanga vilivyo! Sidhani kama kuna mtu ataandamana leo hii hapa Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Hata maandamano yenyewe hayaeleweki,tafadharini andamaneni tujaze threads.
 
Ni mda wa Chadema kutoa kafara, waacheni waandamane.
 
Back
Top Bottom