CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Onyo Thread hii si ya Chadema wala Mwanachadema na wala hakuna Mapambano wala vikosi vya ujasusi.
 
Maandamano yetu Arusha yapo pale pale na maandalizi yote yamekamilika.

Nasikia vikosi vya ujasusi chadema vimejiandaa na silaha za moto.kupambana na polisi..niko kaloleni hapa kikosi cha chadema MAU MAU wanakusanya mapanga na bunduki kupambana na Polisi KESHO NI VITA ARUSHA.
 
Onyo Thread hii si ya Chadema wala Mwanachadema na wala hakuna Mapambano wala vikosi vya ujasusi.
Swali ni kwamba, je hayo maandamano kesho yapo au hayapo? Kama yapo, tutaamini vipi maelezo yako kuwa chadema haina hivyo vikosi? Kumbuka Mungi amesema kuwa siri hii imetolewa na Mwigamba ambaye alikuwa Mwenyekiti wa chama chenu huko Arusha. Kwa maana nyingine, Mwigamba ni Knowledgeable wa vikosi vyenu. Vipi mnakataa hapa? Au kwa vile cimeumbuliwa?
 
Haaaaa....mijajusi ya maghamba iko kazini. CDM ina redbrigade.....hivyo vikundi vingi vya magamba.
 
RED BRIGADE wamejiandaa kwa mabomu na bunduki kupambana na Polisi kesho
 
Nimepitia profile ya mleta mada na nimejiridhisha kuwa ni mwana CHADEMA na yupo Arusha. Vipi nyie akina Mungi na Molemo mnatapatapa?
 
Kwa vikosi hivyo vya chadema nabashiri kuna mtu atapoteza uhai kesho halafu watasingizia Jeshi la Polisi
 
Nimepitia profile ya mleta mada na nimejiridhisha kuwa ni mwana CHADEMA na yupo Arusha. Vipi nyie akina Mungi na Molemo mnatapatapa?


Lizaboni..

Huyu Jamaa Wameshaanza Kutofautiana....


Jeshi limejiandaa kupambana na hawa Wahuni...
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeeh! Ndo maana mabomu kila siku hayaishi Arusha

Hiyo njia yenu kila siku kuaminisha umma kuwa 'cdm chama cha kighaidi'.....ebu jaribu tena kuua kama mlivyofanya arusha...mhumbuliwe na kamera zetu. CDM mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom