CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

ungefanya nini tungekuwa nje unaijua dola ya ccm au unatusikia tu usiingie kwenye mikono yetu utajuta

Mnatumia dola kuwanyanyasa wananchi ili hali ukweli unabaki palepale nyie ni wezi kama wanarusha walivyokuwa wanasema
 
ungefanya nini tungekuwa nje unaijua dola ya ccm au unatusikia tu usiingie kwenye mikono yetu utajuta

Na hii ndiyo sababu hasa mlizomewa! Kwa nini? Mnapenda kutumia vyombo vya dola kulazimisha mambo na kujikinga msiguswe mnapofanya maovu. You see?

Watanzania wa kizazi cha leo hawapendi kuburuzwa na kulazimishwa. Wanataka wajiamulie mambo yao.
 
natamani nchi nzima ingekuwa kama arusha ,urusha dukani ukinunua kitu unaambiwa asante kamanda,kwenye daladala konda anakuambia kamanda unashuka wapi,hotelin utaulizwa kamanda nikuhudumie nni,ukienda baa kamanda unakunywa kinywaji gani,
 
Hawa magwanda siasa hawaijui wao wanachokijuwa ni fujo tu.

Ni kweli siasa kuna watu wanajua siasa!

Kichapo+UVCCM.JPG


Ni kweli siasa ina tafsiri nyingi!

SAM_2053.JPG


Ni kweli kweli kuna siasa na si hasa!
6.+GWARIDE+VIJANA+WA+CCM.jpg


Katika siasa waweza hata kufunga mtaa! Ole wao wapita njia!

DSC07479.JPG


NI kweli siasa na dola ni kitu kile kile!

mtwara+2.jpg


Ni kweli siasa ni sheria mkononi...mradi tu usiwe mpinzani!

Kanda+wa+Chadema+akikimbizwa.jpg

FaizaFoxy, haya umewahi kuyaona Chadema?
Kama bado unabisha nko tayari kukuwekea na video kabisaaaa!
 
Shinyanga mbona walshaanza kuzomewa hao maintarahamwe wakivaa hizo jezi zao ambazo ni alama ya maovu yote yanayotendwa na serikali
 
tatizo la vijana wa arusha ni gongo,bangi na mirungi
 

Ni kweli siasa kuna watu wanajua siasa!

Kichapo+UVCCM.JPG


Ni kweli siasa ina tafsiri nyingi!

SAM_2053.JPG


Ni kweli kweli kuna siasa na si hasa!
6.+GWARIDE+VIJANA+WA+CCM.jpg


Katika siasa waweza hata kufunga mtaa! Ole wao wapita njia!

DSC07479.JPG


NI kweli siasa na dola ni kitu kile kile!

mtwara+2.jpg


Ni kweli siasa ni sheria mkononi...mradi tu usiwe mpinzani!

Kanda+wa+Chadema+akikimbizwa.jpg

FaizaFoxy, haya umewahi kuyaona Chadema?
Kama bado unabisha nko tayari kukuwekea na video kabisaaaa!

Hayo ya kuwadhibiti magwanda.

Unajuwa maana ya Red Brigade? pata darsa dogo:

The Red Brigades was a Marxist-Leninist left wing terrorist group active in Italy in the 1970s and early 1980s. Known as ‘Brigate Rosse' in Italian and sometimes shortened to BR, their main aim was to force Italy to leave the NATO alliance. They are most famous for the kidnap and murder of former Italian Prime Minister Aldo Moro in 1978. During their long history of political and at times somewhat random violence they carried out approximately 14,000 acts of violence.

Soma zaidi: Red Brigade Terrorist Group
 
Wanajamvi , Hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea Singida kuungana na katibu wangu wa CCM ndugu Kinana, tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya Ol- Matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini. Mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi Arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya CCM. CHADEMA acheni hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada CCM kuvaa sare ya chama.
mnaenda kuongeza idadi ya maudhurio, msubirini huko huko makwenu bhana
 
Kwani ulikuwa hujui Kuwa hamtakiwi kabisa?au hujajua Kuwait nyie ni wezi?
 
Wewe migomba inafahamika na majani yanafahamika na Magamba pia yanafahmika Wana Arusha hatutaki magamba.
 
Wanajamvi ,

Hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea Singida kuungana na katibu wangu wa CCM ndugu Kinana, tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya Ol- Matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini.

Mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi Arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya CCM.

CHADEMA acheni hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada CCM kuvaa sare ya chama.
Kwanini na nyinyi hamkuwazomea? Kwani kuzomea hamjui?
 
Back
Top Bottom