CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Wanajamvi ,

Hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea Singida kuungana na katibu wangu wa CCM ndugu Kinana, tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya Ol- Matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini.

Mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi Arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya CCM.

CHADEMA acheni hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada CCM kuvaa sare ya chama.
 
Wanajamvi , hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea singida kuungana na katibu wangu wa ccm ndugu kinana tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya ol- matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya ccm.chadema achane hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada ccm kuvaa sare ya chama

wezi tu nyie..bora mmezomewa!!
 
Nasikia na Mwanza wanataka kuanza kuzomea
 
Kwa hiyo wewe unataka mshangiliwe kwa wizi; ubadhirifu, mauaji na ujangili unaosimamiwa na CCM sio!? ama kweli akili nyingine hyazina akili hata chembe!

Sare za CCM ni alama ya maovu yote yanayoendelea hapa nchini.
 
Wanajamvi , hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea singida kuungana na katibu wangu wa ccm ndugu kinana tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya ol- matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya ccm.chadema achane hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada ccm kuvaa sare ya chama

wanaozomea ni chadema au wananchi ?
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.
 
Last edited by a moderator:

Arusha ipi? Arusha hakuna choo kama wewe wote wanajitambua
 
Last edited by a moderator:
Chama chakavu bwana nyie mume copy gwanda zetu kwanini msizomewe???hata aibu hamuoni!!!mngepigwa na mawe kabisa nyie vilaza wa ubunifu.
 
ungefanya nini tungekuwa nje unaijua dola ya ccm au unatusikia tu usiingie kwenye mikono yetu utajuta

We mbulumbundu kweli.... Umezomewa unakuja kuomba poo huku JF....Kama hiyo Dola ingekuwa na uwezo ingewashughulikia hao wanazomewa....

Nakuambia tena unabahati ulikuwa ndani ya gari vinginevyo mngekula kichapo cha hatari...
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

Mbona umewaruka....Wacha uongo wako wewe...Mara ya mwisho kuona rangi ya kijani hapa Arusha ni ile siku ya Manesi....

Vaa hiyo laana yako upite nayo mtaani ndo utajua mbivu na mbichi...!
 
Last edited by a moderator:
we mbulumbundu kweli.... Umezomewa unakuja kuomba poo huku jf....kama hiyo dola ingekuwa na uwezo ingewashughulikia hao wanazomewa....

Nakuambia tena unabahati ulikuwa ndani ya gari vinginevyo mngekula kichapo cha hatari...

binti naona umeachika unatafuta mume kwa nguvu
 
Back
Top Bottom