CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

.....Milestone wenzako ilibidi polisi wawalinde !!!
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

Haaaaaah jaman! Aya bana mkuu! Cpat pcha utavojiona chz kwa kuzomea mgomba
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi ,

Hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea Singida kuungana na katibu wangu wa CCM ndugu Kinana, tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya Ol- Matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini.

Mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi Arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya CCM.

CHADEMA acheni hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada CCM kuvaa sare ya chama.

wana WIVU MAANA CDM WAMEJARIBU KILA MTINDO LAKINI HAWANG'AI KAMA CCM.
 
Bora wanaozomea mi nikiyaona ule manguo Yao nahisi kutapika ,maintarahamwe
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

We vaa hyo sare ya majambazi alaf njoo simama hapa olmatejo,mianzini,sanawari,philips,kimandolu ngulelo mpaka hata tengeru lazma upgwe hata mawe
 
Last edited by a moderator:
Mimi si MwanaCCM lakini nakuunga mkono mkuu MSALANI. Ninaishi Arusha lakini hayo mambo ya kuzomea watu wanaovaa sare za CCM yalishaisha siku hizi.

Hapa soko kuu kuna kijana (yawezekana ni mbeba mizigo) nguo anayovaa siku zote ni T-Shirt ya CCM yenye picha ya Kikwete. Ukipita Mianzini, kinamama wauza ndizi wengi tu wamevaa vitambaa vya CCM. Bendera za CCM nazo ziko sehemu nyingi tu hapa mjini.
Lango kuu la kuingia uwanja wa Amri Abeid, mtaa wa Kaloleni bendera ni nyingi tu.
ACHENI PROPAGANDA ZA KITOTO.

Uwongo mkuu huyo anayevaa hivyo anaonekanaga hana nguo nyingne na anavaa si rasmi kwake wale wanaozomewa ni wale ambao wako rasmi na wanaonekana kama wanaadvertise hivi!
Na mahali ccm walipoeka bendera hapo ujue ni eneo lao bas kwa Arusha yote ccm wapo bendera zao zipo kwa wingi hapo uwanjani na pale kaloleni kwnye zile nyumba yao bas
 
Last edited by a moderator:
Matapeli wafuasi tapeli mwenziwe Mbowe wameiuwa Arusha, maskini ilokuwa Geneva ya Africa, sifa yake kama Kosovo sasa
 
Wanajamvi ,

Hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea Singida kuungana na katibu wangu wa CCM ndugu Kinana, tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya Ol- Matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini.

Mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi Arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya CCM.

CHADEMA acheni hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada CCM kuvaa sare ya chama.

naomba unijibu maswali haya
1. unabyhakika waliokuzomea ni wanachama wa CHADEMA?
2. wewe unafhani demokrasia ni nn??ni kumdhalillisha LEMA?kumnyima haki ya kuongea na wapiga kura wake?
3. je demokrasia ni kulinda wizi na ufisadi??
4.demokrasia ni kumwacha mtu mmoja akaigeuza nchi mali yake na mke wake na watoto wake
 
Km ww ni mzalendo wa kweli ungeva sare ya nchi/ taifa la TZ kisha ukaendelea na sera za chama chako
Tatizo unavaa sare ambayo wezi/wadharimi/fisadi wa kuu wanchi hii wanaivaa....ss hata km ww ni mtu mwema ukishakuwa kwenye hiyo sare watu wanapata kichefuchefu tu
 
Mwanza amuulize pinda yaliyo mkuta uwanja wa sahara,au vuvuzela nape alipokuwa magomeni Kirumba mwaloni alizomewa akabaki kutukana tu. Hii ndiyo dawa yenu kuzomewa tu.
 
naomba unijibu maswali haya
1. unabyhakika waliokuzomea ni wanachama wa CHADEMA?
2. wewe unafhani demokrasia ni nn??ni kumdhalillisha LEMA?kumnyima haki ya kuongea na wapiga kura wake?
3. je demokrasia ni kulinda wizi na ufisadi??
4.demokrasia ni kumwacha mtu mmoja akaigeuza nchi mali yake na mke wake na watoto wake

wewe demokrasia kwako ni kuzomea ccm wanapovaa sare ya chama chao.uko timamu kweli
 
Mkuu hawa vijana wameshaathirika Kisaikolojia. Maana wamesimama upande wa kushindwa. Mimi nikikatiza mjini halafu ngedere yeyote afunue mdomo kunizomea namlima risasi ya mdomo.

wewe vipi! mara ukatae hakuna zomea zomea kwa wanavaa nguo za kijani na njano mara utapiga mtu risasi! umekuaje? ninakumbuka vurugu za Arusha 2011 vijana wakishambuliwa na polisi na wao walifuata mali za CCM na kuanza kuziharibu. vile wanajua dola inatumika vibaya na serikali ya CCM
 
natamani nchi nzima ingekuwa kama arusha ,urusha dukani ukinunua kitu unaambiwa asante kamanda,kwenye daladala konda anakuambia kamanda unashuka wapi,hotelin utaulizwa kamanda nikuhudumie nni,ukienda baa kamanda unakunywa kinywaji gani,

kamanda upo imara hiyo ni sahihi kamanda
 
Back
Top Bottom