CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

Matapeli wafuasi tapeli mwenziwe Mbowe wameiuwa Arusha, maskini ilokuwa Geneva ya Africa, sifa yake kama Kosovo sasa

wanaiua Arusha ni CCM na kukumbatia ujangili, mimi business partner wangu amejitoa kwenye biashara sababu kubwa ni hawa wanasiasa wenu wameharibu Image ya nchi kwa kushindwa kuzuia mauaji ya tembo na faru au wao wenyewe kujihusisha na ujangili moja kwa moja
 
Kumbe umati ule Singida watu walitoka Arusha na maeneo mengine!Nimeamini kwakuwa magari yalikuwa mengi basi watu walitoka sehemu mbalimbali ilikuamisha umma kuwa wanakubalika.Wamepata wapi fedha zote hizo?Ufisadi hautakaa uishe nchi hii watu wasipofanya maamuzi magumu.Mungu Tusaidie Watanganyia na Wazanzibariii
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

Duuu ina maana atakuwa punguani ee anasema uongo ama kweli ccm ni zaidi ya dengua
 
Last edited by a moderator:
Manayaadhibu makoo yao tu zomea zomea inaonyesha wazi kwamba chama hicho kimejaa wahuni na walevi ambao busara zao ni zero.watu kama hao tutawatawala mpaka kiama.

Wewe acha kutapika hapa watu tunakula nyie mnabusara gani mabazazi nyie na laana ipo juu yenu ndio maana nchi imewashinda mmevurugwa kuanzia babu mpaka mjukuu hamjui muanzie wapi mmalizie wapi kweli Mungu huwaumbua wanafki.
 
Wamarangu hawapo hivyo wewe unatudhalilisha una ghubu kama ndugu wa mume!.

wewe ni machicha ya mbege. una maneno ya kiswahili nini maana ya ghubu kama sio maneno ya wamama wanaosukana.ninyi ndio mnaua cdm
 
Kama mna allergy na rangi ya kijani. Zomeeni na miti ili tujue mmeshakuwa wehu moja kwa moja.

Unaonaje damu yako ikawa nyeupe na nywele zako zikawa pink maana cdm hizo rangi zipo hutaki jitundike.
 
Kumbe umati ule Singida watu walitoka Arusha na maeneo mengine!Nimeamini kwakuwa magari yalikuwa mengi basi watu walitoka sehemu mbalimbali ilikuamisha umma kuwa wanakubalika.Wamepata wapi fedha zote hizo?Ufisadi hautakaa uishe nchi hii watu wasipofanya maamuzi magumu.Mungu Tusaidie Watanganyia na Wazanzibariii

sisi ndio makamanda wa chama upande wa siasa tunazunguka nchi nzima ngedere wewe
 
Hawa magwanda siasa hawaijui wao wanachokijuwa ni fujo tu.


Magandwa si ndiyo kina Nape mabosi wako wameiga? Hujaona nape siku hizi anashona uniform zake za kijani kwa mtindo wa kombati za chadema? Naona siku hizi pia mnatka kubadilisha matshirt yenu ya kijani na njano mnavaa nyeusi> CCM haichukiwi kwa sababu ya mavazi bali matendo yenu maovu!
 
taja kijiko tulichoiba kwako

si bora ingekuwa kijiko msingezomewa,,, bil200 escrow,, bilioni nyingi za epa,, rada, dowans,iptl,ndege ya raisi, richmond.. wakati kashfa moja tu marekani ya watergate ilienda na raisi pamoja na watendaji wote,,,, sasa kwa nini msizomewe.. toa sababu kwa nini msizomewe???

na huo ni mwanzo tunakoeendea mtapigwa mpaka na mawe nyie na viongozi wetu,, ni suala la muda tu.... wale waliolala wameanza kuamka kidogo kidogo,,,, hongera sana wazomeaji!!!!

UPI NI UKOMAVU WA KISIASA KUZOMEWA WANA CCM AU KUIBA MALI YA UMMA....
 
Ukikubali kupigiwa makofi ukubali bila kuzomewa, ni principle.
 

Ni kweli siasa kuna watu wanajua siasa!

Kichapo+UVCCM.JPG


Ni kweli siasa ina tafsiri nyingi!

SAM_2053.JPG


Ni kweli kweli kuna siasa na si hasa!
6.+GWARIDE+VIJANA+WA+CCM.jpg


Katika siasa waweza hata kufunga mtaa! Ole wao wapita njia!

DSC07479.JPG


NI kweli siasa na dola ni kitu kile kile!

mtwara+2.jpg


Ni kweli siasa ni sheria mkononi...mradi tu usiwe mpinzani!

Kanda+wa+Chadema+akikimbizwa.jpg

FaizaFoxy, haya umewahi kuyaona Chadema?
Kama bado unabisha nko tayari kukuwekea na video kabisaaaa!

ASANTE KWA piCHA MKUU , NAAMBIWA KWENYE HIYO PICHA YA MWISHO , MAPAMBANO YA MAHARAMIA YALIONGOZWA NA ADEN RAGE !
 
Hayo ya kuwadhibiti magwanda.

Unajuwa maana ya Red Brigade? pata darsa dogo:

The Red Brigades was a Marxist-Leninist left wing terrorist group active in Italy in the 1970s and early 1980s. Known as ‘Brigate Rosse’ in Italian and sometimes shortened to BR, their main aim was to force Italy to leave the NATO alliance. They are most famous for the kidnap and murder of former Italian Prime Minister Aldo Moro in 1978. During their long history of political and at times somewhat random violence they carried out approximately 14,000 acts of violence.

Soma zaidi: Red Brigade Terrorist Group

kama ni suala la google tu na kutafsili unavyotaka, basi inaweza isiwe hivyo, inaweza hata kuwa hivi hapa chini...
au hujui kuwa hilo neno red brigade lilitokea kwenye RED ARMY, JAPAN, CHINA, NA URUSSI...

Lucknow's Red Brigade fights to change India's 'rape culture ...
Rediff.com - India, Business, Stock, Sports, Cricket, Entertainment, Bollywood, Music, Video and Breaking news, Rediffmail NG, Shopping › NewsTafsiri ukurasa huu

Lucknow's Red Brigade fights to change India's 'rape culture'. February 19, 2014 09:01 IST. It's that time of the year when love blooms in the urban heart and ...




2345
6
78910

[TD="class: b navend"]
[/TD]
[TD="class: cur"]1[/TD]

[TD="class: b navend"]



[/TD]
 
Back
Top Bottom