CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

Manayaadhibu makoo yao tu zomea zomea inaonyesha wazi kwamba chama hicho kimejaa wahuni na walevi ambao busara zao ni zero.watu kama hao tutawatawala mpaka kiama.
chezea watu waliojitambua.bado wewe jitambue et.
 
Arusha IPI maana nyie bavicha hamuishi uzushi kila kukicha

Mkuu hawa vijana wameshaathirika Kisaikolojia. Maana wamesimama upande wa kushindwa. Mimi nikikatiza mjini halafu ngedere yeyote afunue mdomo kunizomea namlima risasi ya mdomo.
 
Mkuu hawa vijana wameshaathirika Kisaikolojia. Maana wamesimama upande wa kushindwa. Mimi nikikatiza mjini halafu ngedere yeyote afunue mdomo kunizomea namlima risasi ya mdomo.
another pointless.
 
chama chakavu bwana nyie mume copy gwanda zetu kwanini msizomewe???hata aibu hamuoni!!!mngepigwa na mawe kabisa nyie vilaza wa ubunifu.

ilo la kukopi gwanda nakuunga mkono.wameishiwa awa. Kiukweli wanaipenda sana cdm lakini wa fanyenini? Ccm ni chama cha kupiga [mtonyo] a.k.a ela.
 
Hawa magwanda siasa hawaijui wao wanachokijuwa ni fujo tu.
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.
Kwani umeshahamishwa kutoka Iramba?
 
Last edited by a moderator:
ungefanya nini tungekuwa nje unaijua dola ya ccm au unatusikia tu usiingie kwenye mikono yetu utajuta

Acha matisho we gamba..

Haya matisho yajionyesha mnavyobambikiza wananchi kesi na hasa wale walio kinyume na utawala huu mbovu.
 
Wote wanaosema wao ni ccm ni .............,na wapo huko kwa sababu ya njaa.
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

Mimi si MwanaCCM lakini nakuunga mkono mkuu MSALANI. Ninaishi Arusha lakini hayo mambo ya kuzomea watu wanaovaa sare za CCM yalishaisha siku hizi.

Hapa soko kuu kuna kijana (yawezekana ni mbeba mizigo) nguo anayovaa siku zote ni T-Shirt ya CCM yenye picha ya Kikwete. Ukipita Mianzini, kinamama wauza ndizi wengi tu wamevaa vitambaa vya CCM. Bendera za CCM nazo ziko sehemu nyingi tu hapa mjini.
Lango kuu la kuingia uwanja wa Amri Abeid, mtaa wa Kaloleni bendera ni nyingi tu.
ACHENI PROPAGANDA ZA KITOTO.
 
Last edited by a moderator:
ilo la kukopi gwanda nakuunga mkono.wameishiwa awa. Kiukweli wanaipenda sana cdm lakini wa fanyenini? Ccm ni chama cha kupiga [mtonyo] a.k.a ela.

mkuu sio gwanda tu hadi ilani yetu ya uchaguzi kipengele cha katiba wamecopy hawa sio creativity kabisa.
 
Mkuu hawa vijana wameshaathirika Kisaikolojia. Maana wamesimama upande wa kushindwa. Mimi nikikatiza mjini halafu ngedere yeyote afunue mdomo kunizomea namlima risasi ya mdomo.

Hao wanaowazomea ni wananchi au chadema?ulivyotwambia chadema ungetoa na picha tuwaone hao vijana kama wamevaa gwanda kama nyie nlivyovaa jezi zenu,so kama hawakua na utambulisho wa chama basi hao ni wananchi usilaumu chadema.
 
Hapa mwanza ukipita umevaa sare ya ccm mafisadi unazomewa kama vile umejinyea.
 
Back
Top Bottom