CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

CHADEMA Arusha acheni kuzomea wanaovaa sare ya CCM

mmaranguoriginal. Acha uzandiki. Mimi niko arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

msalani utakuwa kipofu mpaka lini kwako wewe kila kitu propaganda kikwete mwenyewe naambiwa alishazomewa hapo arusha.lowasa anapita arusha kimya kimya hawezi shuka ndani ya gari kusalimia wananchi upo hapo
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi , hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea singida kuungana na katibu wangu wa ccm ndugu kinana tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya ol- matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya ccm.chadema achane hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada ccm kuvaa sare ya chama

"Mkuki kwa Nuruwe! kwaBinadamu mchungu" eee! Maccm acheni kuwatumia polisi kunyanyasa wapinzani
 
mmaranguoriginal. acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.
Njoo hapa stand au pita barabara ya garden rose.povu linakutoka intarahamwe wewe.
 
Last edited by a moderator:
mmaranguoriginal.
acha uzandiki. Mimi niko Arusha miaka yote na kijana ndio mavazi yangu
mara nyingi. Mbona sizomewi? Hizi propaganda za kitoto zikome.
Zomeeni na migomba na miti yote yenye rangi ya kijani.

Chooni.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi ,

Hiki kitendo sikukipenda wakati naelekea Singida kuungana na katibu wangu wa CCM ndugu Kinana, tukiwa ndani ya gari tumevaa sare zetu za chama maeneo ya Ol- Matejoo kuna vijana walipotuona wakaanza kutuzomea kama vile sisi ni wezi kitendo ambacho sio ukomavu wa demokrasia nchini.

Mosi tendo hili tuliambiwa na baadhi ya makada wenzetu wanaoishi Arusha imekuwa vigumu kwao kupita barabarani na sare ya CCM.

CHADEMA acheni hiyo tabia sio ukomavu kisiasa na sio dhambi kada CCM kuvaa sare ya chama.

Nyie ccm sio "kama wezi" ILA NYINYI NI WEZI! Ni kweli kuwa kuvaa sare za ccm si dhambi, ila ukiamua kuvaa sare inayokutambulisha kuwa wewe ama ni mwizi na/au ni sympathizer wa wezi basi kuzomewa (kama wanavyozomewa wezi wengine wote ) ni HALALI KWAKO
 
Kwa hapa Mwanza ni aibu mtu kuvaa hizo sare za majangili na lazima utazomewa tu!

Hata hapa Mbeya mwendo huo huo wa kuzomewa. Akina mama na wababa wenyewe na vilemba na kofia za ccm wanafung/wanavaa wakiwa maporini huko hapa town stop.
 
Manayaadhibu makoo yao tu zomea zomea inaonyesha wazi kwamba chama hicho kimejaa wahuni na walevi ambao busara zao ni zero.watu kama hao tutawatawala mpaka kiama.
 
Kama mna allergy na rangi ya kijani. Zomeeni na miti ili tujue mmeshakuwa wehu moja kwa moja.
 
Arusha IPI maana nyie bavicha hamuishi uzushi kila kukicha
 
Back
Top Bottom