Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Mkiambiwa ukweli huwa mnajifanya eti ni pointless.....!!hawa chadema bana....na wenzio wako huko tweeter huwa hawapendi kabisa kuambiwa ukweli!!
Hivi ukweli ni upi hapo..????
Inasikitisha sana kuona baadhi ya watz wanashabikia mauvu haya...

NEC ilishindwa nini kuwapa mawakala wa CHADEMA viapo vyao..???
Waliwachelewesha ili waje kuwaua..???
Viapo vingetolewa mapema kama walivyowapa ccm haya yangetokea wapi...???

Mtambue kila lenye mwanzo lina mwisho.
 
Habari wakuu,kilichotokea leo ni jambo la hovyo na kupigwa vikali.Kitendo cha chama cha siasa kuvunja sheria kwa maksudi ili kulijaribu jeshi la polisi wapate video za kuonyesha ni jambo la kupingwa vikali sana

Chadema na Mbowe ameshachanga karata zake akagundua usanii na uhuni anaoufanya na kikundi chake watanzania wamewachoka na hawawataki hivyo nafasi yao kushinda katika uchaguzi mdogo ni mdogo zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Hivyo ameamua juu chini kuharibu uchaguzi wa marudio kwa namna yoyote tunaona jinsi alivyokodi vijana lakini mbinu ikagundulika pia tunaona jinsi alivyotumia vijana hao kufanya fujo leo.

Pamoja na kuendesha vitendo vya uporaji hivyo kulazimu polisi kutumia nguvu kubwa.

Hivyo ningeomba jeshi la polisi kuwashughukia watu wote kuanzia mbowe na mawakala wa cdm kwa kuanzisha vujo na uchochezi
hvi unawaza Kwa kutumia kinyeo au? Hata km unalipwa .... jitahidi kujiongeza Kwa hao machoko wenzio basi
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Nikuite MP.UM.BA.VU wa kupindukia usiyestahili hata Sekunde Moja ya kuishi? Kibali Cha kuandamana? Wale wanaokusanyikaga Barabarani na kumsimamisha Sizonje Huwa wanatoa wapi vibali vya kukusanyika? SHERIA zinasemaje kuhusu kuandamana? CCM tangu lini wamepewa kibali Cha kuandamana? Hizo Risasi za Moto ni za Nini kwa Raia wasio hata na kirungu? Mnaishia kuua hata wasiohusika? Haya, tuwatakie kila la heri!
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Wewe ni mnafiki na mzandiki mkubwa.
 
Hivi ukweli ni upi hapo..????
Inasikitisha sana kuona baadhi ya watz wanashabikia mauvu haya...

NEC ilishindwa nini kuwapa mawakala wa CHADEMA viapo vyao..???
Waliwachelewesha ili waje kuwaua..???
Viapo vingetolewa mapema kama walivyowapa ccm haya yangetokea wapi...???

Mtambue kila lenye mwanzo lina mwisho.
Kufeni tu....
 
Mtoa mada ulichokiandika kimeniudhi, kimenikera na kunisikitisha saana. Bt anyway "Muda ni mwalimu".
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Unataka kutuaminisha kuwa maandamano Sio njia ya kudai haki? Kwani walifanya fujo au walikuwa wanakwenda kuwasilisha mawazo yao kwa pamoja, badala ya kuilaumu tume una ilaumu chadema, badala ya kuwalaumu wauwaji, wewe una elekeza shutuma upande ambao Sio au tukueleweje kuwa wewe ni miongoni mwa watu wanao endeleza vitendo vya utekaji na mauwaji ya watanzania kwa mwamvuli wa kujifanya mzalendo uchwara,. Acha kabisa.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.

TOA TONGO TONGO KISHA TAZAMA MBELE,
 
unamaanisha mawakala hawakupaswa kufata barua zao za viapo??

CCM hii damu mliyomwaga jana itawawinda milele , hawa watu wawili mlioua juzi na jana mtailipa.
 
Sasa haya uliyoaandika yote haya mbona point less??

1) ulitaka wafanyaje kama wananyimwa barua na hao wakurugenzi wa hizo halmashauri???
Mahakama ndio sehemu pekee ya kudai haki.
 
Mpumbavu wewe ninyi ndo mnasapoti watu kuuwawa hovyo katika nchi yao alafu unakuja kutupanulia domo lako hapa.
Go to hell your days are comming.
Huyo mwanafunzi kawakosea nini?
 
ICC wapo watamkamata tu huyu unayemtuhumu wanachukua ushahidi
 
Haki iliyoporwa haiombwi, inatafutwa nakupiganiwa...unafiki Uhuru ulikuja hivi hivi?
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.

!
!
Labda goti la mama yako, Tena in a doggy style.
Mimi na ninaowajua hatutapiga goti hilo.
Najaribu kuweka taarifa sawa, sio kila goti litapigwa.
 
mkuu umeona kitendo walichokifanya cdm ni sahihi barua za viapo walitakiwa wafate kistarabu sio kwa maandamano
Kwani kulikuwa na ugumu gani kutoa kufuata kistaarabu kwani kuna aliyepigwa jiwe wakati wa kuomba hizo fomu

Mmeuwa watu mazombi nyie mnajifanya wastaarabu Hanna tofauti na boko haramu mlaaniwe
 
Mleta mada jaribu kuifuata akili yako ulipoiacha . Ktk jambo zito la umwagaji wa damu isiyo na hatia kwa sababu zinazotokana na ubinafsi wa watu wachache ; hukupaswa kuandika ulichokiandika . Busara kidogo hata kama unakipenda chama chako ingekutuma unyamaze , lakini kwa kuwa una roho ya kijuha kama waliotoa amri ya kuhujumu uchaguzi nd'o maana umejiandikia mihemko na harara zako . Jaribu kuvaa utu kidogo itakusaidia kuwa binadamu mwenye utimamu wa akili kuliko uzombi uliouonesha .
 
Sasa haya uliyoaandika yote haya mbona point less??

1) ulitaka wafanyaje kama wananyimwa barua na hao wakurugenzi wa hizo halmashauri???
Unauhakika gani kama mkurugenzi aliwanyima barua zao?mawakala wengine walizipata muda gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom