Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Yaani wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa, tena nina wasiwasi hata katika familia yenu wewe ndio unaongoza kwa umbea, unafiki, kujipendekeza na fitina.
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
Unafikiri wakati wanaandamana hawakujua kama itatokea watapigwa? Wanajua sana na kwa taarifa yako hiyo ndio gharama ya kudai haki kwa njia ya maandamano hivyo usidhani kipigo kile kwao machungu hapana bali ni ushujaa na alama ya kudai haki.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.

Kwa nini ulihoni hili kwa kosa kwa waliosababisha chadema waandamane wasingeandamana kama kusigekuwa na mazingira yaliyowafanya waandamane
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
Kunamtu kapoteza maisha hapo tena mdada mwenye umri mdogo! Hata kama unamapepo ama u mchawi yafaa ujifunze kuheshimu utu kidogo. Hufai kuelekezwa kwakuwa inaonesha huna hofu ya Mungu na roho ya mtu kupotea ww unaona fahari.kalambe damu ilomwagika mule barabarani and then Go to hell.
Sijawahi kuchukizwa hivi humu...Khaaa at least nitoe nyongo
 
Njia halali niipi ambayo hawajapitia? Wamefuatilia sana jambo lile kabla maandamano Na maafa hayajatokea
 
Hii post imeandikwa na binadamu mwenye akili timamu au roboti?
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
I
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
Ipo siku yako mkuu!!!! Unadhani wote waliokutwa Na maafa ni hao unaowaita nyumbu??? Najua yawezekana upo Na maslahi Na unayoyatetea lakini una ndugu,jamaa na marafiki.. Hakika utaonja hili sikuyaja
 
Dawa ya Moto tangu lini ikawa maji!?

Miaka hii sio ile ya kuwadanganya wananchi eti upinzani ukichaguliwa sijui kutatokea Vita, watanzania wa miaka hii sio wa miaka ile...Viva Kinondon Viva Chadema
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Kwa wiki mbili wanaomba barua za utambulisho wanazungushwa mawakala hawapewi...
Kwanink hawakupewa mapema kama wenzao wa CCM?

Ulitaka wafanye nini ili waweze kupata barua ambazo ni haki yao wakati masaa yamebaki machache?

Wanaogopa nini kutenda haki wakati wanadai wanapendwa na kukubalika na CCM mpya?
Nadhani ilikuwa kipimo sahihi kwa kufanya fair election ili kujua position yao katika jamii zaidi ya kutumia hila....!!

Tena unaweza kuta JPM hausiki na haya mambo bali wale wa pambe wanaomdanganya khali halisi ilivyo
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Umeandika nini? Kama vile unajisaidia kinyesi na kujipaka usoni. Wakati mwingine jizuie kunyea watu
 
Unauhakika gani kama mkurugenzi aliwanyima barua zao?mawakala wengine walizipata muda gani?
Ficha ujinga wako angalau kwa nusu saa basi acha kujitoa ufahamu inamaana wiki mzima walipokuwa wanafuatilia hizo barua ww ulikuwa kuzimu?ulitaka wafanyaje? Kwa nn mawakala wa ccm walipewa mapema wa chadema wakanyimwa?tumia akili ulizopewa na Mungu na si masabuli yako njinga kabisa ww
 
Sasa haya uliyoaandika yote haya mbona point less??

1) ulitaka wafanyaje kama wananyimwa barua na hao wakurugenzi wa hizo halmashauri???

Kwa ushauri, chukua famila yako mkajiunge na maandamano hayo, kama unaamini ni halali.

Kwa taarifa yako, kuna tetesi CHADEMA hakina fedha za kuwalipa Mawakala, ni siri yake tu Mbowe, M/kiti wa chama, na wasiri wake. Hivyo, anahamasisha vurugu makusudi, ili siri yake iwe kweli.

Ninahisi kwamba wale mawakala wa CHADEMA watakaobahatika kuwa vituoni, kufanya kazi yao, hawatalipwa baada ya zoezi hilo la kusimamia.
 
DED damu iliyomwagika itakulilia maana wewe ndo chanzo,CHADEMA walikua very right kudai haki yao.
Na si kuwa waliandamana walienda kutafuta ufumbuzi wa tatizo,polisi kutumia walichotumia kwa watu wanaoenda kutafuta ufumbuzi si sawa kabisa.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Another shithole
 
Ficha ujinga wako angalau kwa nusu saa basi acha kujitoa ufahamu inamaana wiki mzima walipokuwa wanafuatilia hizo barua ww ulikuwa kuzimu?ulitaka wafanyaje? Kwa nn mawakala wa ccm walipewa mapema wa chadema wakanyimwa?tumia akili ulizopewa na Mungu na si masabuli yako njinga kabisa ww
Chama cha wahuni hiki

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Avha kuuambukiza watu ujinga wako
 
Uwe unaandika na jina halisi na contacts na position ambayo unahisi itakufaa.Hii system unayotumia ni ngumu sana kukumbukwa.
 
Hivi hizo likes mnazompa kwenye hii thread zinamaanisha nini?kwamba ameandika point au? Dislike button is needed here.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom