Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Habari wakuu,kilichotokea leo ni jambo la hovyo na kupigwa vikali.Kitendo cha chama cha siasa kuvunja sheria kwa maksudi ili kulijaribu jeshi la polisi wapate video za kuonyesha ni jambo la kupingwa vikali sana
Chadema na dj ameshachanga karata zake akagundua usanii na uhuni anaoufanya na kikundi chake watanzania wamewachoka na hawawataki hivyo nafasi yao kushinda katika uchaguzi mdogo ni mdogo zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano hivyo ameamua juu chini kuharibu uchaguzi wa marudio kwa namna yoyote tunaona jinsi alivyokodi vijana lakini mbinu ikagundulika pia tunaona jinsi alivyotumia vijana hao kufanya fujo leo pamoja na kuendesha vitendo vya uporaji hivyo kulazimu polisi kutumia nguvu kubwa.Hivyo ningeomba jeshi la polisi kuwashughukia watu wote kuanzia mbowe na mawakala wa cdm kwa kuanzisha vujo na uchochezi
New member.... Ahahahahahaa... ungetumia tu ID yako ya siku zote
 
Hivi na wewe mtoa uzi wazazi wako wanajivunia wana mtoto mwenye akili timamu? Ilipokuwa NCCR Mageuzi wana nguvu mliwaandika wanataka kuliletea maangamizi Taifa, CUF ilipopata nguvu mkawa mnatoa hadi mapanga mkidai chama cha cuf kimeagizia. Kimeingia CHADEMA mnaanza propaganda zenu.

Awamu hii CHADEMA haitapotea kwenye anga la siasa za Tanzania. Kama hayakuwa maandamano halali mbona wametoa karatasi za viapo kwa mawakala.

Kesho lazima Kinondoni atangazwe Salum Mwalim iwe mvua iwe jua.

Pipooooooooooz.
Pawaaaaaaaa
 
Pawaaaaa
 
Habari wakuu,kilichotokea leo ni jambo la hovyo na kupigwa vikali.Kitendo cha chama cha siasa kuvunja sheria kwa maksudi ili kulijaribu jeshi la polisi wapate video za kuonyesha ni jambo la kupingwa vikali sana
Chadema na dj ameshachanga karata zake akagundua usanii na uhuni anaoufanya na kikundi chake watanzania wamewachoka na hawawataki hivyo nafasi yao kushinda katika uchaguzi mdogo ni mdogo zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano hivyo ameamua juu chini kuharibu uchaguzi wa marudio kwa namna yoyote tunaona jinsi alivyokodi vijana lakini mbinu ikagundulika pia tunaona jinsi alivyotumia vijana hao kufanya fujo leo pamoja na kuendesha vitendo vya uporaji hivyo kulazimu polisi kutumia nguvu kubwa.Hivyo ningeomba jeshi la polisi kuwashughukia watu wote kuanzia mbowe na mawakala wa cdm kwa kuanzisha vujo na uchochezi
KICHWA KIKUBWA, UBONGO NUKTA. Mawakala wenu viapo walipewa lini? Je wale mawakala wa CDM mlitegemea kuwapelekea muda gani? Je, wasingejitoa mhanga kufuatilia mngeweza kuwapelekea mmoja mmoja majumbani mwao ili kesho asbh wawe huru kufika vituoni kwa zoezi la kusimamia kura za wagombea wao? “kichwa kikubwa, ubongo nukta”
 
Sasa haya uliyoaandika yote haya mbona point less??

1) ulitaka wafanyaje kama wananyimwa barua na hao wakurugenzi wa hizo halmashauri???
Weka positive points zako Yomboo tujifunze tafadhali.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
ngebe tupu
 
Madhara yanawapata watanzania yaani vile wewe siyo mtanzania kwa nn mnajitoa akili hivi?
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Maandamano ya amani ni haki ya kikatiba polisi kazi yao inatakiwa kuarifiwa ili watoe ulinzi. Kuwapa polisi madaraka kama haya ni kutoa maana ya maandamano ndiiyo maana wanawapiga watu. Kama wameweza kuja kwa wingi kupiga watu wana sababu kubwa gani ya kuzuia maandamano?

Mimi si mshabiki wa cdm lakini ni mpenda demokrasia maana ninajua faida yake. Ninahudhuria maandamano ya kiila aina hapa ninapoishi japo si raia wa hapa lakini sijaona polisi wakitembeza vipigo japo wakati mwingine tunawakejeli. Tupo karne ya 21 ccm ikiandamana hatuoni vipigo sada mpaka mtu anapoteza maisha huyu IGP na waziri lazima wafikirie upya nafasi zao.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Njia stahiki zilitumika wahusika wakaweka pamba masikioni ungependa watumie njia gani baada ya ujeuri hu uliooneshwa na Tume ya Uchaguzi? Nani wanaitakia mabaya Tanzania kama si watu waliopewa dhamana wanapotumia dhamana hizo kupindisha sheria kwa maslahi yao binafsi?
 
Sasa haya uliyoaandika yote haya mbona point less??

1) ulitaka wafanyaje kama wananyimwa barua na hao wakurugenzi wa hizo halmashauri???
Bado njia za kudai Haki zilikuepo na si lazima waandamane na matokeo yake kufa watu wengine na si Mbowe,Mnyika,Mwalimu wala Mdee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom