Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Huyo aliyekataa kutoa viapo ndie mshenzi na muuaji mkuu.
 
Hebu twende taratibu...je, unaweza kuitaja/kuinukuu hiyo sheria inayotamka kwamba maandamano yanahitaji kibali? Tuanzie hapo kwanza.
Kwa mujibu wa sheria ya polisi inataka taarifa ifikishwe kwao si chini ya masaa 48 kabla ya tukio barua ikieleza lengo la maandamano njia yatakayopitia n.k ili polisi itoe ulinzi accordingly bila kufanya hivyo umekiuka sheria ya polisi
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Hivi kujaza Polisi ktk Jimbo la uchaguzi unategemea tuchaguliwa kumbuka watanzania hawapendi uonevu kwa hiyo kutumia njia hiyo ni kujidanganya. Yaani uwatishe raia wanaotumia sanduku la kura alafu watuchague tunaowatisha Tanzania hawawezi kulifanya hilo
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Una element za ushoga. Kapimwe makalio.
Unastahili kuitwa shoga sabbu umetumia makalio kkufikiria na kuandika.
Wasimamizi wote wa ccm wakishapewa barua na kula viapo hawa mwengine mmewazungusha kwa mbinu za kutaka kuwanyima, bdo masaa machache kabla ya uchaguz na bado hamtaki kuwapa unafikiri watu ni wangia eee. Wajinga wakati wa kaenda ila kurudi kila mtu mjanja.
Kama magu anakubalika na kuungwa mkono mbona mnatumia mbinu chafu nyingi.
Ndio mjue mlishaishiwa mbinu...mlinunua viongozi bado jahazi linazama.
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
Wewe punguani nyumbu ni babako.
 
Kwa mujibu wa sheria ya polisi inataka taarifa ifikishwe kwao si chini ya masaa 48 kabla ya tukio barua ikieleza lengo la maandamano njia yatakayopitia n.k ili polisi itoe ulinzi accordingly bila kufanya hivyo umekiuka sheria ya polisi
Hujajibu swali, nimeulizia kuhusu kibali cha kuruhusu maandamano. Je taarifa ikishatolewa kitu gani kinafuata...kibali? Kwa sheria ipi?
 
Kwanini asilaumiwe aliyezuia viapo pasipo sababu mpaka walipokufa watu

Hivi wanajisikiaje umezuia viapo watu wasio na hatia wamekufa au ndio ukiwa kiongozi unaishi milele huwezi kuwa na hofu
 
Kama magu anakubalika na kuungwa mkono mbona mnatumia mbinu chafu nyingi.
Kama kuna kiongozi hakubaliki na Watanzania hawamtaki ni huyu wa sasa na uchaguzi ukiwa huru na wa haki hapati kitu na hata kutoka kwa familia yake hatapata kura hata moja..
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
We mwenyewe una neemeka na Taifa walilopoteza watu maisha si kwamba Nyerere alipewa bila watu wa mstar wa mbele kunyongwa.
 
Kwahiyo ukinyimwa fomu ndio uandamane? Halafu kosa la kuandamana bila kibali litafunikwa na la kunyimwa fomu?
Ebu nieleze, ni sheria IPI inayomtaka mtu/kikundi cha watu wakitaka kuandama lazima wapewe kibali, na nn nan anayetoa hicho kibali.....

Mnaogozwa na vilaza wenzenu. Magu kafoji PhD yake, mashite the same unategemea nn na ww kama sio akili za kukopeshwa unazitumia humu
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
kwanini mawakala wa upinzani hasa chadema hawapewi baeua za viapo na wa ccm tu ndo wamepewa?
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
kwahiyo mnajisifia kuuwa wananchi?
 
Uzuri wa chadema kelele zenu humu zitakoma jpili halafu mtarukia hoja ingine
hivi mama kabombe ni kwanini nini nyie CCM mko tayari hata kuuwa kama mlivompiga risasi huyo binti leo jioni ili tu muendelee kutawala?
 
Habari wakuu,kilichotokea leo ni jambo la hovyo na kupigwa vikali.Kitendo cha chama cha siasa kuvunja sheria kwa maksudi ili kulijaribu jeshi la polisi wapate video za kuonyesha ni jambo la kupingwa vikali sana

Chadema na Mbowe ameshachanga karata zake akagundua usanii na uhuni anaoufanya na kikundi chake watanzania wamewachoka na hawawataki hivyo nafasi yao kushinda katika uchaguzi mdogo ni mdogo zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Hivyo ameamua juu chini kuharibu uchaguzi wa marudio kwa namna yoyote tunaona jinsi alivyokodi vijana lakini mbinu ikagundulika pia tunaona jinsi alivyotumia vijana hao kufanya fujo leo.

Pamoja na kuendesha vitendo vya uporaji hivyo kulazimu polisi kutumia nguvu kubwa.

Hivyo ningeomba jeshi la polisi kuwashughukia watu wote kuanzia mbowe na mawakala wa cdm kwa kuanzisha vujo na uchochezi
 
Habari wakuu,kilichotokea leo ni jambo la hovyo na kupigwa vikali.Kitendo cha chama cha siasa kuvunja sheria kwa maksudi ili kulijaribu jeshi la polisi wapate video za kuonyesha ni jambo la kupingwa vikali sana
Chadema na dj ameshachanga karata zake akagundua usanii na uhuni anaoufanya na kikundi chake watanzania wamewachoka na hawawataki hivyo nafasi yao kushinda katika uchaguzi mdogo ni mdogo zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano hivyo ameamua juu chini kuharibu uchaguzi wa marudio kwa namna yoyote tunaona jinsi alivyokodi vijana lakini mbinu ikagundulika pia tunaona jinsi alivyotumia vijana hao kufanya fujo leo pamoja na kuendesha vitendo vya uporaji hivyo kulazimu polisi kutumia nguvu kubwa.Hivyo ningeomba jeshi la polisi kuwashughukia watu wote kuanzia mbowe na mawakala wa cdm kwa kuanzisha vujo na uchochezi
Na ulaaniwe ewe hayawani mpumbavu usiyejitambua, hakika ibilisi ana maskani moyoni mwako.
 
Habari wakuu,kilichotokea leo ni jambo la hovyo na kupigwa vikali.Kitendo cha chama cha siasa kuvunja sheria kwa maksudi ili kulijaribu jeshi la polisi wapate video za kuonyesha ni jambo la kupingwa vikali sana
Chadema na dj ameshachanga karata zake akagundua usanii na uhuni anaoufanya na kikundi chake watanzania wamewachoka na hawawataki hivyo nafasi yao kushinda katika uchaguzi mdogo ni mdogo zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano hivyo ameamua juu chini kuharibu uchaguzi wa marudio kwa namna yoyote tunaona jinsi alivyokodi vijana lakini mbinu ikagundulika pia tunaona jinsi alivyotumia vijana hao kufanya fujo leo pamoja na kuendesha vitendo vya uporaji hivyo kulazimu polisi kutumia nguvu kubwa.Hivyo ningeomba jeshi la polisi kuwashughukia watu wote kuanzia mbowe na mawakala wa cdm kwa kuanzisha vujo na uchochezi
condemn kailima,mkurugenzi kinondoni,polepole,bashite,and ccm before jumping on or at cdm
 
Tangu lini jambo likaongozwa na MTU mwenye zero lifanikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom