Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Moderator usifute huu uzi tunaijuwa chadema kinyume nyume huyo mgombea wao pale chuo fulani alisababishia watu majanga makubwa sana yeye akijifanya mwanaharakati kumbe yupo kwenye payral ya chadema nani asie juwa huu ujinga.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Ni linikatiba ilikataza ninyi mwendekezeni huyo dictator uchwara wenu siku kikinuka nchi hii kama ninyi mtakuwa salama hata Libya walikuwa na jeshi lenye nguvu na polisi Leo wapo wapi?
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Moderator usifute huu uzi tunaijuwa chadema kinyume nyume huyo mgombea wao pale chuo fulani alisababishia watu majanga makubwa sana yeye akijifanya mwanaharakati kumbe yupo kwenye payral ya chadema nani asie juwa huu ujinga.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Acheni woga ccm,tulieni
 
Ww ndio mjinga wa kutupwa. Malaya wa ccm
 
Hujuma huzimwa kwa hujuma, correct [emoji106][emoji106][emoji106]

Mkuu niliwahi kukuambia ccm sasa hivi haiwezi tena ushindani wa kisiasa ukaleta ubishi. Leo hii mnapambana na chama kisicho hata na ofisi ya kueleweka, huku mkutumia tume na jeshi la polisi kufanya hujuma za wazi. Hakuna kitu kibaya kama ukishazeeka kisha ukalazimisha kukubalika.
 
Sasa haya uliyoaandika yote haya mbona point less??

1) ulitaka wafanyaje kama wananyimwa barua na hao wakurugenzi wa hizo halmashauri???
Mkiambiwa ukweli huwa mnajifanya eti ni pointless.....!!hawa chadema bana....na wenzio wako huko tweeter huwa hawapendi kabisa kuambiwa ukweli!!
 
Historia itamhukumu magufuli kwa haya aliyoyaleta Tanzania kwa kua sasa mchicha unakua yaani ameona aige ya Rwanda na Burundi na Ethiopia.kiukweli Magufuli hakujiaandaa kuwa rais wa watanzania kwa kua Tanzania ilikua inaheshimika sana kimataifa kulinganisha na nchi nyingine za Africa,sasa anatupeleka kwenye unyama
Mpaka sasa mmeshatengeneza chuki , taifa lenu linapoelekea kuna siku utapaona pachungu hapo

Hata mbuyu ulianza kama mchicha ,

Mtavuna mnacho kipanda , wait and you shall see the pictures
 
Tumia akili wewe,huoni baada ya hicho usichokipenda hati za kiapo wamepewa?Halafu hujiulizi ni kwanini watu wa lichama lako walishapewa isipokuwa chadema?Logic IPO wapi hapo?Mnachekelea upumbavu wakati nchi inaelekea kubaya!Hivi watu wengine Mungu amewaumbaje?
 
nenda kamwambie huyo bwana wako polepole kuwa nguvu ya umma imeshinda pamoja na kuumia kote jeshi la polisi lakini haki imesimama.
 
Hawajaandamana ninavyotaka Mimi, inatakiwa waandamane hadi ukose muda wa kuja kuandika utumbo wako huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom