introvert
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,372
- 2,425
Mtu anasema hapendi mambo ya vyama. Anasema yeye anapenda maendeleo.
Mtu huyo huyo asiyependa mambo ya vyama anateua wakurugenzi na kuwapa warning wasiapishe wapinzani.
Mteule wake mwenye kashfa ya rushwa anapandishwa cheo.
Hii chuki anayopanda anaweza asione matokeo yake. Lakini watoto au wajukuu wetu wanaweza wasikute Tanzania yenye amani na ushirikiano.
Endeleeni kujitoa akili na kutetea upumbavu kulinda matumbo yenu. Muda utaongea.