James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

Aug 20, 2014
8
8
Wana Jamvi,
Pengine ninaweza nisieleweke kwa jambo hili muhimu ninalolisema hapa, pengine ninaweza nisieleweke hasa kwa wale wenzetu ambao ni vigumu sana kutumia kichwa kwa kufikiri. Hata hivyo, pamoja na kwamba wamezoea kutumia vichwa vyao kwa kufugia nywele, wana fursa ya kutoa maoni yao hivyo hivyo........

Lakini pia niseme ujinga, upuuzi, ujanja na upumbavu unaofanywa na TeamLowassa katika harakatiz zao za kuidhoofisha CHADEMA umebuma, na kama tulivyosema CHADEMA ni mpango wa Mungu, bado nawakumbusha kwamba yeyote mwenye hila dhidi ya chama hiki anajilaani mwenyewe, kwakuwa CHADEMA ndiyo tumaini la watanzania, chadema ni mpango wa Mungu.

Nirudi kwenye heading kama inavyojieleza hapo juu inayoelezea mkakati wa James Ole Millya kuidhoofisha CHADEMA kwa maslahi ya Fisadi, mwizi, papa, nyangumi Eddo wa Richmond.

Kwakuwakumbusha tu, huyu James Ole Millya alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, baada ya kuona nguvu kubwa ya CHADEMA Arusha, Teamccm iliyokuwa inaongozwa na mzee wa safari ya matumaini Eddo wakapanga mkakati wa kuwaingiza mamluki ndani ya CHADEMA, watakaofanya kazi nzuri ya Eddo Safari ya Matumaini Lowassa, ndipo ulipofanyika mpango wa James Ole Millya kuibukia CHADEMA, baada ya kuunda mizengwe mizengwe kana kwamba alikuwa na ugomvi na vi-uvccm vyenzake Arusha, kiasi cha kwenda kufunga ofisi yao.

Tokea mwanzo wenye kuona tabia za huyu dogo jinsi zilivyokuwa zinaenda, tulitahadharisha, hasa mbunge Lema kwamba awe makini na James Ole Millya, huyo hana nia na dhamira ya dhati na CHADEMA, bali yupo kimkakati kuidhoofisha nguvu ya Lema na CHADEMA Arusha. Tulielezea na mkakati wa Millya kwa kutumia ukabila kuwagawa wananchi wa Arusha, ambapo sasa tunaona mrejesho wake kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita, tukiangalia matokeo ya uchaguzi huo katika jimbo la Simanjiro, jimbo ambalo yeye binafsi alikuwa amejinadi kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM. Katika uchaguzi huo James Ole Millya alifanya hujuma ya wazi ili wagombea wa CHADEMA jimbo nzima la Simanjiro (isipokuwa kata mbili tu), walienguliwa kwa makosa yaliyotengenezwa na James Ole Millya.

Ni hivi karibuni mwishoni mwa mwaka 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika, uchaguzi ambao kwa mara ya kwanza umeshirikisha nguvu kubwa kutokana na ushiriki wa vyama vinavyounga muungano wa ukawa yaani CHADEMA, CUF, NCCR na NLD.

Katika uchaguzi huo ni dhahiri katika maeneo ambayo wananchi ni waelewa walionyesha kwamba wameikataa ccm, na kuchagua mbadala.

Hata hivyo matarajio na matamanio ya wananchi hayakuwa kama walivyotarajia, mfano Simanjiro baada ya wagombea wote kuwekewa pingamizi zilizotengenezwa na James Ole Millya, baada ya wagombea kukoseshwa kwa makusudi jinsi ya kujaza fomu, na mihuri iliyotumika kwenye fomu hizo. Hata James alipopigiwa simu na wasimamizi wa uchaguzi kuwa fomu zimekosewa, zirudiwe, James mwanasheria mwenye degree mbili akawaambia hakuna makosa hapo waendelee, huku akijua wamefanya kosa la kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro.

Hapa chini ni taarifa ya mzalendo kutoka Simanjiro:
Mfano wa maeneo ambayo fomu zilikosewa kujazwa halafu tukawekewa pingamizi karibu jimbo nzima, isipokuwa kata moja ni Jimbo la Simanjiro, jimbo ambalo James Ole Millya ni mwanasheria mwenye masters anadai atagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Katika jimbo hilo wagombea wa chadema waliwekewa pingamizi na kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro, isipokuwa kata ya Mererani na Mbuguni ambapo ina wagombea waelewa ukilinganisha na kata za vijijini.

Kwa kuwekana sawa ni kwamba James Millya ndiye aliyeshughulika kwa sehemu kubwa ku coordinate kuwapata wagombea vijiji vya jimbo la Simanjiro, ikizingatiwa yeye ndo mgombea wa chama simanjiro 2015.

Lakini jambo la kusikitisha kama siyo kushangaza ni pale wagombea wa chama kwenye jimbo la mwanasheria mwenye degree mbili walivyoenguliwa kirahisi, kisa makosa ya ujazaji wa fomu na aina ya mihuri zilizotumika.

Wadau tunahoji inakuwaje wagombea ambao mwanasheria nguli mwenye degree ndiyo kawaandaa wakaenguliwa? Je, ni kukosea ama ni hujuma?

Kwa taarifa zilizopatikana ni kwamba baada ya wasimamizi kugundua fomu za wagombea zimekosewa, walimpigia James Millya, wakamwambia fomu zimekosewa hivyo wakazirekebishe kabla hawajapokea, inasemekana James akawaambia wazipokee tu hivyo hivyo????

Hata hivyo taarifa za ndani zinatuhabarisha kuwa James Ole Millya pamoja na kuwa yupo chadema, bado anafanya kazi ya swahiba wake Lowassa, na kwamba kilichotokea Simanjiro na maeneo mengine ya wagombea wetu kuenguliwa hasa kanda ya kaskazini ni mkakati wa kungenezea Lowassa mazingira mazuri, kwamba kwao anakubalika, akiwa na imani kubwa kwamba atapitishwa na ccm kugombea urais, pamoja na matukio mengi ya ufisadi aliyokwisha kuyafanya.

Lowassa huyu huyu anayesemekana kubebwa na akina Millya anahusishwa na matukio mabaya ya mauaji, umwagaji wa Tindikali na utekaji uliowahi kufanywa nchi hii. Siyo shida kwa Lowassa kuagiza polisi na usalama kutekeleza mauaji kwa gharama yoyote pale anapoona maslahi yake yanaguswa.

Narudi kwa James Ole Millya, ambaye siku za hivi karibuni amekuwa akionekana kuwa na ushirika wa karibu na Lowassa na Kivuyo aliyekuwa diwani wa Sokoni 1. Ushirika huu wa hawa jamaa siyo wa bahati mbaya, kama ambavyo tunaamini makosa ya ujazaji wa fomu za wagombea wa vijiji na vitongoji vya jimbo la Simanjiro, zoezi lililoratibiwa na Mwanasheria mwenye degree mbili siyo la bahati mbaya, bali lilipangwa ili kukidhoofisha chama na kuijenga taswira ya Lowassa kanda ya kaskazini.
Kwenye kata za Mererani na Mbuguni ambazo wagombea wa chadema hawakuwekewa mizengwe ccm walipigwa kipigo cha mbwa baada ya kugaragazwa vibaya na chadema.

Relevant facts to be taken into account
:
James Ole Millya siku za hivi karibuni amekuwa karibu sana na Phillemon Mollel (Monaban) anayefanya kazi ya Lowassa, na anayesikika sikika kuwa atagombea ubunge jimbo la Arusha mjini.
Ni hivi karibuni James Ole Millya alikuwa na kikao Palace Hotel na vijana wa Kimasai, agenda kuu ilikuwa kueneza siasa za kikabila.

James baada ya kugundua mikakati yake imeanza kushtukiwa na CHADEMA Arusha, akaamua kubadili mfumo wa kupata taarifa kutoka CHADEMA, baada ya kijana moja anayeitwa Nico ambaye ni mfuasi wake, aliyefukuzwa na CHADEMA miaka michache iliyopita kutokana na usaliti, aende tena CHADEMA aombe msamaha. Ni kweli kijana huyo alifika New Arusha Hotel, mahali ambapo CHADEMA walikuwa wana mkutano, akaomba msamaha.

Hata hivyo kesho yake Nico akaonekana tena akiwa kwenye kikao cha faragha cha uvccm ya Lowassa, mkutano ulioratibiwa na Monaban akishirikiana na James Ole Millya.
Katika kikao hicho mambo mengi yalijadiliwa, mojawapo ilikuwa James Ole Millya kuendelea kutumika kuendesha siasa za kikabila itakayoweza kumsaidia Monaban na Lowassa kanda ya Kaskazini.

Nitaendelea ku-update story kila ninapopata nafasi.....

Naweza kukubaliana na mleta mada, inasemekana huyu kijalii alitaka kupewa nafasi halmashauri kuu ya Chadema, baada ya kukosa ndipo alipo amua kujiweka wazi kwamba malengo yake sio kujenga Chadema ila anataka nafasi ya juu ili aweze kupata siri nyingi za Chama Chadema na kuziwakilisha kwa baba yake mlezi kichama ambae ni mzee mamvi.
Ni vyema watu wa aina hiyo wakajua kabisa kwamba nafasi za usaliti ndani yaChadema hazidumu maana kila mwana Chadema ni askari wa mwenzake. Milya na elimu yake angejiuliza Zitto na Mwigamba kwa umaarufu wao wako wapi hivi sasa??
Waarusha pia wanatakiwa wajue kwamba kwa kutumia ukabila hatakaa washike hili jimbo maana hawako wenyewe, na sio kila mwarusha na mmasai ambae ana akili za ajabu kama hao wanao ratibu ukabila.
Tutafika tuu

Nawasilisha
 
Kaka mtendee wema james olemillya,sioni ukweli wowote kweny hii habari yako,muache kijana apambane kwani ukweli utakuja kujulikana muda si mrefu
 
...ngoma ya chadema hawezi
 
Yeyote atakayeinua pua yake juu na kuihujumu chadema amelaaniwa
 
Kuwa chadema haina maana uwe na uadui na ccm, Lowasa na Milya ni marafiki wa siku nyingi kwani kuna ubaya gani milya akimkampenia lowasa? Kama ameona huyo ndio anafaa kuwa mtu wake wa kumiongoza ni vyema, na milya anaweza akarudi ccm wala chadema haita yumba. Acha watu wapewe hela maana ccm wamezoea kugawa takrima,.
 
Kaka kuihujumu chama chako kwa kutumia urafiki baadaya ya siasa basi bora uwe adui hata nje ya siasa.

Hakuna urafiki wa aina hiyo
 
Naweza kukubaliana na mleta mada, inasemekana huyu kijalii alitaka kupewa nafasi halmashauri kuu ya Chadema, baada ya kukosa ndipo alipo amua kujiweka wazi kwamba malengo yake sio kujenga Chadema ila anataka nafasi ya juu ili aweze kupata siri nyingi za Chama Chadema na kuziwakilisha kwa baba yake mlezi kichama ambae ni mzee mamvi.
Ni vyema watu wa aina hiyo wakajua kabisa kwamba nafasi za usaliti ndani yaChadema hazidumu maana kila mwana Chadema ni askari wa mwenzake. Milya na elimu yake angejiuliza Zitto na Mwigamba kwa umaarufu wao wako wapi hivi sasa??
Waarusha pia wanatakiwa wajue kwamba kwa kutumia ukabila hatakaa washike hili jimbo maana hawako wenyewe, na sio kila mwarusha na mmasai ambae ana akili za ajabu kama hao wanao ratibu ukabila.
Tutafika tuu
Pia Millya kama ana mwamini Mungu anatakiwa akumbuke kiapo alicho apa mbele ya kadamnasi yawatu pale uwanja wa NMC kinyume na hivyo ategemee siku chache tutakutana nae barabarani akiokota makopo.
 
Kaka kuihujumu chama chako kwa kutumia urafiki baadaya ya siasa basi bora uwe adui hats nje ya siasa.

Hakuna urafiki WA sins hiyo

Walikuwa wanaongea, hiyo hujuma mnasema nyinyi, mnataka watu wafukuzwe kwenye chama muanze kulalamika hapa, chadema ina intelijensia yake, haihitaji maneno ya pembeni, mbona kina mwigamba walipokuwa wanahujumu hamkusema huku kwenye mitandao? Acheni mlya aongee na lowasa hata kulala kwa lowasa alale.,
 
hii thread nimeidharau kwa ajili umeanza na kutusi watu
 
Nawewe unategemewa na familia yako?
 
hii thread nimeidharau kwa ajili umeanza na kutusi watu

Siyo umeidharau, Bali mbinu zenu za kipumbavu zinazoongozwa na Hilo lizee ambalo haliwezi hata kushikilia kikombe cha chai kwa sekunde 60 zimeshtukiwa.
 
mi ukawa CDM bhana nitake radhi magamba nina alej na,mi sibishani na content ya thread ila sijaenda tu uwasilishaji wake wa kutumia kutusi wakati zipo lugha za kistaarabu.
 
Kuwa chadema haina maana uwe na uadui na ccm, Lowasa na Milya ni marafiki wa siku nyingi kwani kuna ubaya gani milya akimkampenia lowasa? Kama ameona huyo ndio anafaa kuwa mtu wake wa kumiongoza ni vyema, na milya anaweza akarudi ccm wala chadema haita yumba. Acha watu wapewe hela maana ccm wamezoea kugawa takrima,.

Hivi amesha hama kwenye nyumba ya mzee Mamvi pale Sakina??
 
Pale hawezi hama nyumba kama ile ukae bure halafu uhame? Hata akijenga zake pale ataendelea kukaa na ndio maana wapo wote mara nyingi, si lazima kila wakikutana waongee siasa, wana yao mengi hao.
 
Back
Top Bottom