Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Demokrasia ya upande moja...!!?

Inaelekea wewe bado unaishi kwenye Ujamaa!!
 
Tatizo sio DED tatizo ni makonda na Magufuli na bloodshed plan ila kwa tanzania hawatofanikiwa ninakuhakikishia
Kiongozi anayewaza na kutaka umoja katika taifa awezi kuacha mambo yanayofanyika kwenye uchaguzi mdogo kama huu ambayo unaonesha yanaviashiria vya uvunjifu wa amani kwa asilimia 98 na wahusika wanajulikana na kuachwa
Ninahamini yanayotokea ni mungu amepanga kutuamsha tusilale but majibu soon mtayapata

Then Simamia misimamo ya kujenga taifa lenye usawa na haki ya kuhoji huo muda unaotumia kuandika kitu kinacho ficha uovu kiepuke ipo siku roho yako itakusuta na itakupeleka kubaya.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Umeandika upumbavu tupu.
 
Mimi binafsi sipendi siasa hilo la kwanza... Pili naona mkuu umekurupuka kuandika huu uzi na hauna uzito nakushauri waambie na fisiemu wasitumie polisi Kwa maslahi ya chama na wasitumie vyombo vya intelligence kuwatesa upinzani.. Kuwapiga n.k..
Tatu ukifatilia siasa kama sio mwanasiasa unapoteza energy bure maana hawana maana...
Fisiem majambazi.. Wale wengine wezi

Siasa mchezo mchafu Angalia usitumike vibaya kwa ajiri ya matumbo ya wachache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hupendi siasa alafu hapo hapo unaonyesha chuki za kisiasa
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Wewe ndo mjinga kiasi sijaona wa kiwango chako
 
Kum la mm yako wewe
 
Uchaguzi huu mpaka ukiisha sijapigwa BAN sijui,ngoja ninyamaze.
 
Yaani nchi ina viongozi wa ovyo, Mkurugenzi wa manisapaa anasababisha maandamano mpaka watu wanakufa kisa kusaidia ccm ishinde. Hiyo mbinu ya kuwazungusha mawakala wa chadema wasipate barua mapema za utambulisho ili makarani mliowapanga wakatumbukize kura mlizo tia tiki usiku ni upumbavu katika nchi ya wastaarabu.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.

Hii nchi sio ya Ccm pia ni ya Watanzania.

Tatizo lenu mnajisahau na kuona hii nchi ni yenu hadi mnaanza kuongoza kwa mabavu, mwisho wenu unakuja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom