CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Ahsante kwa kunitamanisha!!!
Nyie mabinti mbona mnaleta utani mkubwa, kakutamanisha nini? Kwaheri,
Ahsante kwa kunitamanisha!!!
Mi silagi usiku. Lets smoke some.
Asante mkuu ila kwa plate hii tuje wangapi?
Karibuni Wakuu
View attachment 134906
daah mkuu pole sana aisee, mimi usiku,bila nguna kwa tindikali mambo hayajaenda.,nafkiri ni mazoea tu,tangu tuko wadogo nyali ilikua mara moko tu kwa wiki, nguna ikawa inahusika sana.Mkuu hongera kwani ningependa kuwa kama wewe manake mie mwenzio nikila ugali usiku naota ndoto za mijinamizi inanivamia na kutaka kutoa roho yangu. Nimefanya maombi kanisani na msikitini wapi. Yaani kila nikila ugali usiku lazima nitaota ndoto hizo tena wakati mwingine hata kabla ya kumega tonge utawasikia wakiniambia sikioni kwa kuninong'oneza kuwa "ukimeza tu hilo tonge ama zako ama zetu, na tuone kama utalala leo." Naomb ushauri wako, unafanyaje hapa kula ugali usiku bila kupatwa na mijinamizi?
Tena nitakutilia na uduvi kabisa kwenye huo mlenda!Sijawahi kula kwa kweli....ila shosti wangu mimi49 ipo siku atanialika then anapika kwa ajili yangu nkajirambeeee
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwani we umeelewa kanitamanisha nini?Kwaheri nawe piaNyie mabinti mbona mnaleta utani mkubwa, kakutamanisha nini? Kwaheri,
Kwani we umeelewa kanitamanisha nini?Kwaheri nawe pia
Muulize muanzisha uzi!!!!mi nimetamani nilichokiona!!hivo vingine unavijua wewe!!najaribu kuona samaki na ugali etc ukatamani! tena cha usiku kwa nini a-specify cha usiku??!!!
Hapo pana pungufu......Ongeza na hii........
![]()
Na maharageeee.....au mchuzi wa nazi wa pweza
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tena nitakutilia na uduvi kabisa kwenye huo mlenda!
Muulize muanzisha uzi!!!!mi nimetamani nilichokiona!!hivo vingine unavijua wewe!!
duuh,,mkuu hili rage limeungwa na nn?Hapo pana pungufu......Ongeza na hii........
![]()