donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #61
Kitu hagweeeee
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mtt mlaf ww, ndomana mtaan kwenu hawauzi maharage labda ulime mwenyewe
Kitu hagweeeee
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mtt mlaf ww, ndomana mtaan kwenu hawauzi maharage labda ulime mwenyewe
daah mkuu pole sana aisee, mimi usiku,bila nguna kwa tindikali mambo hayajaenda.,nafkiri ni mazoea tu,tangu tuko wadogo nyali ilikua mara moko tu kwa wiki, nguna ikawa inahusika sana.
Donlucchese hiki cha usiku ni daku nini?
Kwa maana hiyo ukila nguna ni lazima upate na tindikali ili usiote ndoto ama?
imetulia burdani hapo , nimemiss mlenda.
Kachumbari kidogo basi!!
hata mimi mkuu,kwetu nyagugeKamsosi kanavutia ila mimi ni msukuma si mbaya nitafungulia kimywa wakat nasubiri msosi wenyewe.