Cha usiku kitamu

Cha usiku kitamu

Cha usiku kitamu sana na kiwe kimeandaliwa vizuri na mpishi aliyebobea... Utajilamba mpaka kucha...


Cc: mahondaw

Ofcourse swirly chakula chako nakiandaa kwa uangalizi wa hali ya juu
Na unavojua kukila vizuri chakula cha usiku sasa ajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajaja

Cc: Smart911
 
Natumia app ya jf, network ipo slow so picha ikawa haijaload nilivyoona title 'Cha usiku kitamu' halafu jukwaa jamii photos nikaja mbio nione picha itakayosadifu cha usiku.
Nikajua nitakuta watu wanafanya yao, nimekuta ugali.
unakimbilia chakula cha wenzio kwako hampiki?
 
Hahahah mshana-jr anatukataza tusipende misambwanda wakati yeye kuna thread aliileta kwamba Real men eat fleashy/ freshy
Nimeona anasema eti tukiendekeza misambwanda tutaota sugu
Hii haikubaliki kabisa aise tuache tuendelee kuipenda misambwanda tuote sugu za mikono na magoti
 
Nimeona anasema eti tukiendekeza misambwanda tutaota sugu
Hii haikubaliki kabisa aise tuache tuendelee kuipenda misambwanda tuote sugu za mikono na magoti
kaka at your own risk
 
Mimi huwa napenda cha asubuhi hasa ile mida ya saa kumi na moja hadi mida ya saa tatu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom