PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,257
Vyakula vya mjini hivyo ndomana miji inachafuka kwa mabango ya madokta uchwara.
wapi..?Looooh ngoja nirudi nilikotoka[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyu mpare bashite sana huyu... Mwanamme mzima utagongaje ugali mweupe bhana??
[emoji23] [emoji23] sizitaki mbichi hiziSijui mpare hajatoka kwenye ile milima
naona huyu ni mpare wa kwa Bashite huyu kabisa
hajapanda milima ya usangi
Natumia app ya jf, network ipo slow so picha ikawa haijaload nilivyoona title 'Cha usiku kitamu' halafu jukwaa jamii photos nikaja mbio nione picha itakayosadifu cha usiku.
Nikajua nitakuta watu wanafanya yao, nimekuta ugali.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si chumbani jamanwapi..?
Looooh ngoja nirudi nilikotoka[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hapana kwa kweli umenipita kushoto.Ndio [emoji3]
Haya njoo haraka maana njomba nchumari keshavimba!Si chumbani jaman
samahani nauliza tu et unapokaa kunambwa mkali..?kumbe ugali [emoji34][emoji34][emoji34] [emoji34]