"Cha Uchokozi"

"Cha Uchokozi"

Hili ukitaka ulifaidi panda nalo daladala la Posta-Mbezi, K.Koo-Mbezi, K.Koo-Tegeta, Posta-Gombs, Posta-Mb.Rangi3, M/Mmoja-Segerea alafu omba Mungu daladala lipakie mawe yaani mwanzo mwisho limeshona linaanza kushusha vituo karibia mnafika usipo chafua suruali kwa mfadhaiko basi we si rijali wallah

Yani ndo mana cku hzi kutwa kucha wanaume wananunua magari yasiyokuwa na vioo vyenye Tinted alimradi wachungulie 'mawowowo' yanayokatiza mabarabarani.
 
Yani ndo mana cku hzi kutwa kucha wanaume wananunua magari yasiyokuwa na vioo vyenye Tinted alimradi wachungulie 'mawowowo' yanayokatiza mabarabarani.

hahaha ndo maana mimi nimeacha kuendesha boda boda ilikuwa kila wiki haipiti nakula mzinga kwa kushangaa mipododo road, si unaona ajari nyingi sana za tuktuk zinasababishwa na mshangao wa mipododo
 
hahaha ndo maana mimi nimeacha kuendesha boda boda ilikuwa kila wiki haipiti nakula mzinga kwa kushangaa mipododo road, si unaona ajari nyingi sana za tuktuk zinasababishwa na mshangao wa mipododo

Mpwa Fidel80 uyo jamaa apo kwen avatar mdomo wake vipi?
 
Last edited by a moderator:
kwani huwa kinarindima, singida - dodoma X 2...kama kinarindima sasa basi wewe ni kundi la tatu, kama kimekakamaa kama jiwe kuu la pembeni basi jua namba 2 inakuhusu...

Hapo kwen kurindima watu8 nadhani ndo penye uchokozi au sio?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa shem cha uchokozi hukijui?
Ni kijungu kinakuwa kimetokezea kimtindo.... Kina mvuto wake acha tu...

Au pistol (hips ) zimetoka kwa mbaaaali unakua na shepu flani taaamu.....

Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Sijui nielezeeje hila kwa kifupi nafarijika sana ninapo kuona wangu! Yaani moyo una suuzika na hasa pale tunapo cheza music kijungu chako kinapo nigusa na pata faraja.

Ngoja niishie hapa mengine nitakwambia mwenyewe!

Aisee na Mimi Rutta wangu huwa ananiambiaga nina Kijungu cha uchokozi,tena kilichobetuka kwa juu.
Sasa sielewi ubetukaji huo unamsaidia vipi yeye,
Labda aje mwemyewe.
 
Si kijungu tu ni kwamba na jihisi mwenye bahati sana kwakweli mungu kamjalia sana! Nikimkumbatia kwakweli napata faraja!
Mengine siwezi kukwambia wewe ni mwanafunzi wake hutashindwa kumsikiliza vizuri darasani!

ruttashobolwa hebu tuambie apa Madame B ana kijungu eti? Halafu mwalimu wangu mbona vipindi huingii jamani unataka nifeli?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa shem cha uchokozi hukijui?
Ni kijungu kinakuwa kimetokezea kimtindo.... Kina mvuto wake acha tu...

Au pistol (hips ) zimetoka kwa mbaaaali unakua na shepu flani taaamu.....

Kaizer

Sasa apo BADILI TABIA umenielewa swala langu uzuuuri kbs. So kimetokelezea kimtindo. Umemsoma watu8? Inaingia category gani au ni vigumu kuiasign? Yote kwa yote umrnifumbua macho...

Hujambo shemeji?
 
Last edited by a moderator:
Si kijungu tu ni kwamba na jihisi mwenye bahati sana kwakweli mungu kamjalia sana! Nikimkumbatia kwakweli napata faraja!
Mengine siwezi kukwambia wewe ni mwanafunzi wake hutashindwa kumsikiliza vizuri darasani!

Mwenyewe kesheniwekea kauzibe! Si umeona?
 
hapo ndo penyewe mkuu...tulipokua shule tulikua tunaita Simple Harmonic Motion

Hahaha mambo ya pendulum sio? Sema ndo ivo kina dada hawajafunguka au tuihamishe sredi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom