Morning wana CC!
Nimekutana na hii hapa
Haya hebu nidadavulieni wajameni haya mawowo 'ya uchokozi' ndo yakoje? Manake naona mi mgeni kwen hii tasnia....mara usikie 'hips za uchokozi' au 'kiuno cha uchokozi' au 'maziwa ya uchokozi" "sauti ya uchokozi" ndo yanakuwagaje?
Popote mlipo, mabinti watukuka wa chit chat hebu toeni ufafanuzi hapa huwa mnamaanisha nn?
Tuanze na
beibe nasty mwenyewe, kisha
charminglady. Wakeze
Asprin kuna mwenye kitu cha uchokozi?
BADILI TABIA,
Yummy,
cacico shemeji yangu unanichokoza na nini hadi hamu hainiishi?
Kongosho,
Madame B na madameX,
Kaunga,
Preta,
sweetlady,
gfsonwin,
snowhite, hebu mu come zis way!
Halafu sijui kama pia wenzangu wana lionaje hili...kuna under age
Erickb52 sijui kama alishachokozwa au ndo anakuzwa na
Dena Amsi,
Judgement,
platozoom na
Mphamvu itifaki ikiwa imezingatiwa.
Wakubwa zangu
Roulette my sweet shemeji,
King'asti (huko ndoani sijui anachokozaga na nini)
Dark City,
Kimey,
fidel,
Teamo,
MwanajamiiOne,
RR,
Bigirita and co...
Hebu kina dada fungukeni, kitu gani hasa mnacho kinachomchokoza mpenzi wako au wakware wengine...of course baada ya kutupa uelewa wa neno uchokozi kwen tasnia ya viungo au sauti
Naomba kuwasilisha