Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,832
- 37,438
Mwenyewe kesheniwekea kauzibe! Si umeona?
Hapana,nasubiri ukue halafu mambo mengine nitakuelekeza taratibu.
Mwenyewe kesheniwekea kauzibe! Si umeona?
Sijui hayo mengine, ila nadhani hili ni wowowo la uchokozi, maana ukkaa nae siti moja kwenye daladala lazima likuchokoze.
![]()
Hahahahhahaah lol.....mama wa ubatizo una vituko wewe tehe tehe tehe...........mie haijalishi ili mradi nikivaa jeans haishuki lol.............twenzetu mwaya!
Baba watoto... kama umenichokoza vile! Ngoja nikalale narudi... lol
Kwa hiyo unafanya sensa ya wenye vya uchokozi ili uongeze mke? Machale kundesa here here now.
Unataka ugomvi with your little sister kaka
Mie siku hizi sisemi kaka, manake mie sina chochote cha uchokozi, sio wowowo, miguu, lips wala macho.
akhuuu. Ila haya weeh.
Judgement hii post ina hekima sana hii,,,nikiangalia na muda lazima beibe nasty alishakuchokoza kabisa!Kwa taarifa yako mwanaume ku'own mke more than one ni RESPECT !
Mpunguzieni embargo atengeze heshma.
ruttashobolwa hebu tuambie apa Madame B ana kijungu eti? Halafu mwalimu wangu mbona vipindi huingii jamani unataka nifeli?