Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,982
- 93,990
ngoja nijaribu kufafanua aina ya vijungu yaani wowowo...
1. Kijungu Bapa
Mithilisha aina hii ya kijungu kama ilivyo upande wa nyuma wa haya magari, Noah, Escudo, Vitz nk
2. Kijungu cha Kiuchokozi
Hiki ni aina ya kijungu ambacho hamira inakua haijakolea vizuri, mithilisha na booty la magari kama Corolla A100,110, Toyota Corsa kimsingi hiki kijungu huwa kigumugumu hivi sio mdebwedo.
3. Kijungu Mambo iko huku
Hiki ndio funga kazi, yaani kama ni kando basi hamira imekolea....ushawahi kuona Toyota Ballon wewee