ngoja nijaribu kufafanua aina ya vijungu yaani wowowo...
1. Kijungu Bapa
Mithilisha aina hii ya kijungu kama ilivyo upande wa nyuma wa haya magari, Noah, Escudo, Vitz nk
2. Kijungu cha Kiuchokozi
Hiki ni aina ya kijungu ambacho hamira inakua haijakolea vizuri, mithilisha na booty la magari kama Corolla A100,110, Toyota Corsa kimsingi hiki kijungu huwa kigumugumu hivi sio mdebwedo.
3. Kijungu Mambo iko huku
Hiki ndio funga kazi, yaani kama ni kando basi hamira imekolea....ushawahi kuona Toyota Ballon wewee
umeona eeeeeeeeeeeeee!
Morning wana CC!
Nimekutana na hii hapa
Haya hebu nidadavulieni wajameni haya mawowo 'ya uchokozi' ndo yakoje? Manake naona mi mgeni kwen hii tasnia....mara usikie 'hips za uchokozi' au 'kiuno cha uchokozi' au 'maziwa ya uchokozi" "sauti ya uchokozi" ndo yanakuwagaje?
Popote mlipo, mabinti watukuka wa chit chat hebu toeni ufafanuzi hapa huwa mnamaanisha nn?
Tuanze na beibe nasty mwenyewe, kisha charminglady. Wakeze Asprin kuna mwenye kitu cha uchokozi? BADILI TABIA, Yummy, cacico shemeji yangu unanichokoza na nini hadi hamu hainiishi? Kongosho, Madame B na madameX, Kaunga, Preta, sweetlady, gfsonwin, snowhite, hebu mu come zis way!
Halafu sijui kama pia wenzangu wana lionaje hili...kuna under age Erickb52 sijui kama alishachokozwa au ndo anakuzwa na Dena Amsi, Judgement, platozoom na Mphamvu itifaki ikiwa imezingatiwa.
Wakubwa zangu Roulette my sweet shemeji, King'asti (huko ndoani sijui anachokozaga na nini) Dark City, Kimey, fidel, Teamo, MwanajamiiOne, RR, Bigirita and co...
Hebu kina dada fungukeni, kitu gani hasa mnacho kinachomchokoza mpenzi wako au wakware wengine...of course baada ya kutupa uelewa wa neno uchokozi kwen tasnia ya viungo au sauti
Naomba kuwasilisha
Sijui hayo mengine, ila nadhani hili ni wowowo la uchokozi, maana ukkaa nae siti moja kwenye daladala lazima likuchokoze.
![]()
hili analiweza Fidel80Sijui hayo mengine, ila nadhani hili ni wowowo la uchokozi, maana ukkaa nae siti moja kwenye daladala lazima likuchokoze.
![]()
mi sijakuchokoza jamani, unanisingiziaMi ninefanya nin unaanza kunchokoza eeeeh sheem haya we zima moto kwa petroli uone
Kumbe hapa leo kuna Sredi ya akili kihivi !
Ofcoz mwanamke asokua na shepu ni sawa na darasa liso na madawati !
haya chokozaneni mimi nipo kwa mbali nawacheck tu
mwenzangu, ngoja tuwapishe wajukuu wachokozaneTuliopitwa na wakati utatujua tu....
Ngoja nikapumzike kwenye kivuli nifurahie wajukuu wanavyochokozana...Ila mradi wasiumizane kwa kutona na ngeu kwenye vichwa vyenye utata...lol!!
Babu DC!!
Mmmmh mbona changu sio kigumuu ni std na sio mdebweedooo
kuna siku nilisoma post yako, zamani, nakumbuka mpaka sasa kuwa huo ndo ugonjwa wako................... ni vizuri ukijijua unataka nini, lol!Hahahaha FP umejuaje? huo mpododo noma usipime
Sijui hayo mengine, ila nadhani hili ni wowowo la uchokozi, maana ukkaa nae siti moja kwenye daladala lazima likuchokoze.
![]()