kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,153
- 21,743
Celeb wapumbavu na wapuuzi kabisa... nadhani kwa nenga na shishi itakuwa mfano mwa walichofanyiwa.... ifuate wasafi na crown..
Gara misutiMC Gara Benga
Wanaume huwa tunaanza kuzeeka. Tukishaweka life sawa ndio tunarudi kuwa vijana
Back in days he had no money or fame, bado alikuwa anazidaka