CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Hizo ni mbinu za kishabiki tu kuivunja moyo Stars. Jee, Stars ina washabiki hapo uwanjani?
 
Kuna bango la Waganda linasema 'Even Spain can't survive at Namboole', wakuu kuna ukweli katika hili?

Sio kweli! ni hapo hapo ndipo tuliwaliza mwaka 1965 na tukabeba kombe,lakini unadhani wangesema nini mkuu,hayo ni maneno hata kwenye kangha ya mama yangu niliyaona juzi.
 
Sure Boy anamchezea rafu mbaya Hassan Waswa......Ni eneo la Enka...

Huyu dogo anachezaga rafu mabaya sana

Mashabiki wa Kenya wanaungana na watanzania katika ushangiliaji
 
Naona dalili za vurugu kwa upande wa mashabiki, watanzania wakirushiwa vitu na waganda.
 
Sure Boy anamchezea rafu mbaya Hassan Waswa......Ni eneo la Enka...

Huyu dogo anachezaga rafu mabaya sana

Mashabiki wa Kenya wanaungana na watanzania katika ushangiliaji
Afadhali watushangilie na sie! Hiyo ni nzuri kwa upande wetu! Lakini wakenya wanapiga mahesababu, wanajua sisi ni rahizi kwao kuliko uganda wakiingia fainali nao!
 
Sio kweli! ni hapo hapo ndipo tuliwaliza mwaka 1965 na tukabeba kombe,lakini unadhani wangesema nini mkuu,hayo ni maneno hata kwenye kangha ya mama yangu niliyaona juzi.
hiyo reference inanizidi umri sijui kama ni nzuri kujiaminisha nayo!
 
Uganda wanaanzisha fujo......Ni Hassan Waswa na Oloya......Wanamsukuma Amri Kiemba baada ya Oloya kufanyiwa fou na Yondani.....Refa anawaangalia tu....

Inapigwa fau
lo........Kiiza anapaisha......Free Header
 
Mphamvu huyu dogo asije kuwa kapatwa na mathaibu makubwa zaidi kuliko tunavodhani........mwenye taarifa atujuze.........Balantanda unakimbilia uwanjani tu, tujuze kuhusu mdau, hakukuaga?
 
Tanzania tupunguze rafu,zitatugharimu huko mbele.Refa yupo makini hataki kuharibu mpira.
 
Back
Top Bottom