WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Kama midfield ikitulia magoli yapo, kipa wao siyo mahiri. Washambuliaji watulie, inshaallah tutashinda.
Ni kweli mkuu.
Kama midfield ikitulia magoli yapo, kipa wao siyo mahiri. Washambuliaji watulie, inshaallah tutashinda.
Mungu amsaidie asirudi!!!Kuna mchezaji wa Uganda ameumia.....Ni Emma Okwi......Anagangwa
Kocha amtoe Sure Boy jamani, anatugharimu sana huyu...Anapotea mipira hovyo na kuruhusu mashambulizi
kiongozi ushakata tamaa!!!Hatuna timu
Kuna mchezaji wa Uganda ameumia.....Ni Emma Okwi......Anagangwa
Mungu amsaidie asirudi!!!
Dakika ya 25
Tanzania 0-1 Uganda
Tunashambuliwa......Sentongooooooooooooooo.............Kaseja anadaka