CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mzee msukuma naona ume-quote wasukuma wenzio tu......haya bana

quote_icon.png
By chitambikwa-Huyu nimewasiliana naye muda mfupi uliopita anatokea kyerwa,it means-Muhaya!
quote_icon.png
By idawa-huyu yeye hata simujui maskini ya mungu labda yeye mwenyewe anisaidie
quote_icon.png
By WABHEJASANA-Huyu ni mimi mwenyewe-Ni mghana
quote_icon.png
By Makoye Matale-Huyu ni jamaa yangu sana lakini sijui ni kabila gani nadhani atanisaidia yeye.

Haya huyo dogo wa simba kashatuua dahaaaaaaaaaaaa.
 
Goi zuri sana Okwi kafunga.....Amemzidi ujanja Shomari Kapombe

Kiungo chetu kimepwaya sana leo.............Tunashambuliwa......

Kuna haja ya kocha kumuingiza Athumani Iddi 'Chuji' haraka sana.....Amtoe Sure Boy pae kati, dogo amepwaya sana kwa dakika hizi 13 za mwanzo......Biashara asubuhi
 
Dakika ya 15

Tanzania 0-1 Uganda

Kiungo chetu kimepwaya sana

Ba possession Tanzania 35-65 Uganda
 
Thanks Okwi napenda jezi zenu Kama mabingwa wa Kombe la Kagame Yanga Africa
 
Kuna haja ya kumtoa Sure Boy ama Kiemba na kumuingiza Chuji kushirikiana na Domayo pale kati.....Tatizo letu leo ipo kwenye DM.....Sure boy kapwaya sana kwa dakika hizi 15 za mwanzo
 
dk 17 sisi bila wao moja,kiungo chetu hakijatulia kabisa.
 
Goi zuri sana Okwi kafunga.....Amemzidi ujanja Shomari Kapombe

Kiungo chetu kimepwaya sana leo.............Tunashambuliwa......

Kuna haja ya kocha kumuingiza Athumani Iddi 'Chuji' haraka sana.....Amtoe Sure Boy pae kati, dogo amepwaya sana kwa dakika hizi 13 za mwanzo......Biashara asubuhi

Yaaaa.nakubaliana na wewe,na kama Poulsen hataliona hilo itakula kwetu tena ndani ya dakika ya 90,yani namaanisha kwamba itakuwa ni bora ya zenji wametolewa kwenye matuta!!
 
Dah!.........Bocco yupo peke yake....Kipa kaacha goli.....Mabeki wanaokoa...

Kipa wa Uganda a
lifanya uzembe wa mwaka
 
Mpaka sasa Ngassa na Kazimoto bado hawajafanya vitu vyao....

Tunashambulia sasa.....Kona ...........

Nyoniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............................Inagonga mwamba

Tumewakosa
 
Back
Top Bottom