Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Mtangazaji wa SS anashindwa kutamka jina Maftah......Anasema MAFUTAA
Mtangazaji wa SS anashindwa kutamka jina Maftah......Anasema MAFUTAA
Ssentongo ametukosa....Anapaisha
Kazi nzuri imefanywa na Emma Okwi
Dah!!! Foleni hii kweli haina adabu.Ila lazima nione angalau 2nd half.Keep on posting the updates brothers.
Ssentongo ametukosa....Anapaisha
Kazi nzuri imefanywa na Emma Okwi
Ssentongo ametukosa....Anapaisha
Kazi nzuri imefanywa na Emma Okwi
Mtangazaji wa SS anashindwa kutamka jina Maftah......Anasema MAFUTAA
Hassan Waswa anamchezea rafu Kazimoto....
Free kick......Maftah anapiga.....Goal kick
pitia yenu upoze kooo!mi mwenyewe nimenasa ubungo hapa sina hamu....naona taffic katususa
haya!!!!!Beki etu imetulia sana leo.......Kiungo bado kina mushkei
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tanzania 0-1 Uganda